Recent content by OAKMAN

  1. O

    Wizara ya Nishati & Madini: Kampuni ya Dangote itapewa Kilomita za mraba 9.98 kuchimba Makaa ya Mawe

    Hii kitu ilileta conflict at first place..Industry ya cement bila hata dangote kuja inakidhi mahitaji (capacity to reach demand) Sasa unapompa mtu mmoja favor kuliko wengi kwenye industry ambayo pricing to kiini kikubwa cha ushindani ni kuua wengine automatically
  2. O

    Wasifu(CV) wa Paul Makonda!

    Ukiona Mwanaume anatumia nguvu nyingi kumtetea na kumsifia mwanaume mwenzake basi Najua wajua kinachoendelea..Dunia imeshaharibika hii
  3. O

    Huyu mwanaume ananipenda kweli?

    Licha ya kwamba tuu hakupendi lakini vile vile ana roho mbaya sana
  4. O

    Kumpenda mtoto wake tu, hatimae akanipa

    Daaah usipende vya bure
  5. O

    Msanii darasa anatoka/amezaliwa mkoa gani?

    We hautauona ufalme wa mbinguni
  6. O

    Msanii darasa anatoka/amezaliwa mkoa gani?

    We hautauona ufalme wa mbinguni
  7. O

    Kwanini wanaume wengi hawapendi kutumia Kinga?

    We hujui kwanini? Embu acha masihara usifananishe kavu na vitu ingine
  8. O

    Ushauri please: Vidume vyangu vinadundana balaa

    Thi remind me of me and my young bro..Tulichapana sana back in the days,as usual mdogo ndo uwa mkorofi ilifika time I used to hate him usipokua kuwa makini they will end up hating each other hata ukubwana mi nakupa real experience.Ukitaka kuwawin at the age of 10 mmoja peleka boarding school...
  9. O

    Naomba ushauri: Nimuoe yupi kati ya hawa?

    Wadau naomba niwashirikishe kidogo kwa muda mrefu nimekua kwenye dillema ya mahusiano nipo katika mahusiano na wadada watatu tofauti.Umri unaenda na ninatakiwa nioe mmoja kati yao..Wa kwanza she is so beautiful, ana nidhamu,mpole na mnyenyekevu na ananipenda pia ila hayupo romantic kabisa,Wa...
  10. O

    Rais Magufuli: Serikali yangu haitayafumbia macho magazeti mawili yanayoandika habari za uchochezi

    Akim Akimaliza magazeti radio mjiandae itabaki tbc tuu na clouds
Back
Top Bottom