Kumpenda mtoto wake tu, hatimae akanipa

Kumpenda mtoto wake tu, hatimae akanipa

Samahani, una mke? Mtoto? Angalia usijevunja ndoa ya watu. Baba mtoto akijakujua atafikiria tofauti na hatimaye ndoa yao itavunjika. Kuwa makini. Kama unapenda watoto nenda ustawi wa jamii watakupa
 
We have the tendency to make the absurd normal...huo ni uzinzi wa kiwango cha lami mkuu...badili tabia
 
Kaka heri hiyo kupenda malaika za bwana hadi unatunukiwa neema.Endelea kutenda jema hakika hautajutia maamuzi yako ila tuu ukichukua pipi ya dogo jua kuwa na mama anataka pipi nae,mpee...
 
Daha, watu na bahati zao asee. Jamaa katunukiwa kilaiiiiiiiiinii...
Bahati zao au kwa sababu ana hela.........unadhani kama angelikuwa hana ya kuleta zawadi kila siku angepewa??
 
mkuu, ulivyoandika amekupa nilidhani amekupa mtoto wake, kumbe ni naniliuu bhanaa,anyway , umefanya fasta lakini
 
Huyo aliona "Yes"!!...wacha niongeze janaume lingine maana linampenda kweli mtoto wa mwenzie, wacha wasaidiane matumizi. Anyway, point yangu ni kwamba mkuu hapo wewe ndio unaliwa, na utajikuta unasomesha huyo mtoto...akimaliza masomo mshahara wa kwanza atapeleka kwa baba yake mzazi kwa kumshukuru kumleta duniani. Full stop
Hahahaha! Asante kwa kuniongezea siku za kuishi
 
Dunia ya leo hii. Yaani hapo huoni kama utaanza kuombwa matumizi soon.

Unakenua tu.
 
Mbona kakupa kirahisi hivyo duuuh
Watu papuchi zao wanaziona km mkono tu...muda wowote unampa mtu aushike..
Sijui lengo lke ni nini..huenda akawa ze next wife material...au nae anakudangia tu...
Endelea kumsoma mwema oa...si kila single maza ni kicheche inatokeaga tu bht mbaya akazalishwa
Mm sifikiri kwamba amepewa papuchi kirahisi hivyo unavyofikiria wewe, huwa naona hadi mdada akwambie anakupenda, naamini Ni process Na sio kitu cha siku moja. Hawa watakuwa Ni watu waliozoeana Na wanafahamiana vizuri ndio mwana hiyo bi Mdogo alipata guts za kumweleza jamaa. Any way waendelee kuchunguzana km Kuna bright future kwa wote wawili.
 
Angalia sasa usije anza kupew majuku ya kulipa ada anamaana yake uyo

Unadhani kukutunuku papuchi mchezo alaaaaaaaaah
 
Huyo aliona "Yes"!!...wacha niongeze janaume lingine maana linampenda kweli mtoto wa mwenzie, wacha wasaidiane matumizi. Anyway, point yangu ni kwamba mkuu hapo wewe ndio unaliwa, na utajikuta unasomesha huyo mtoto...akimaliza masomo mshahara wa kwanza atapeleka kwa baba yake mzazi kwa kumshukuru kumleta duniani. Full stop
Ahaaaaa kumbe ndo mnavyikuwaga, tuwaite matapeli
 
Habarini ndugu zangu.

Kuchepuka siyo kitu kizuri, kwanza ni dhambi kubwa sana.Vitabu vitakatifu vinasema.

Mm yalinikuta hivi:

Dada mmoja mwalimu alitokea kunipenda sana. Na ninafikiri sababu mojawapo n kwasababu mm nilimpenda sana mtoto wake.Kila ninapotoka kazini kurudi home, nakatupia pipi, chips snacks, bigiji, nk. Sasa kakatokea kunipenda sana sana.Kakiona tu gari kanatega njiani. Kuna siku niliwahi kukabeba na kwenda nako misele kidogo.

Basi mama ake (huyo mwalimu) akawa kumbe ananipenda sana,bila mm kujua.Siku moja akanisimamisha na kuniambia :
" Unavyompenda mtoto wangu,hata babake hafikii. Natamani kama ingetokea ukawa baba ake. Lakini ndo hivyo tena".

Mm nilichukulia poa tu, nikendelea na utaratibu wangu uleule wa kumpenda mtoto wake.

Siku nyingine tena akaniambia:
" Tafuta muda twende nikakununulie beer, nimejisikia tu kunywa na wewe". Nikamwambia ningemjibu.

Baada ya kama wiki hivi, tukatoka paleplae mtaani kupata kilaji.Katikati ya unywaji, akaniambia:

"nakupenda sana, naomba leo nikupe raha, please".Nikwambia raha gani?Akasema "tamu...".

Basi bhana,siku hiyohiyo nikajicommit tukafanya mapenzi kiroho safi..

Dah.
Mkuu angalia tu huyo mtoto asije kukuumbua na huyo mother kwa mumewe. Itakucost maana mke wa mtu inauma aisee hata kama mwenye mke hampendi timbwili lake unaweza hama nchi
 
Back
Top Bottom