Recent content by nzoka ya pi

  1. nzoka ya pi

    JamiiForums Tanzania Bondia Floyd Mayweather amchakaza Conor McGregor kwa TKO ktk raundi ya 10

    Aminia mkuu asante sana. Uzidi kutupa taarfa za hilo pambano
  2. nzoka ya pi

    JamiiForums Tanzania Bondia Floyd Mayweather amchakaza Conor McGregor kwa TKO ktk raundi ya 10

    Tupeni updates ya pambano round ya ngap, na nani anaonekana kua fit
  3. nzoka ya pi

    JamiiForums Tanzania Msemaji wa Serikali akiri ndege mpya ya Bombardier Q 400-Dash 8 kushikiliwa nchini Canada. Awatupia lawama wanasiasa...

    Neno la Mungu ni Moto ulao litumike kwa kusudi maalum.
  4. nzoka ya pi

    JamiiForums Tanzania Mrejesho, Yule mwanamke mvaa kikuku kweli anatoa "Jicho"

    Kweli mkuu
  5. nzoka ya pi

    JamiiForums Tanzania Nahitaji marafiki wakuchat nao

    Duuh hyo ni kweli hua nashangaa sana. Sisi Wanaume noumah sana angekua binti ooooh mapemaa sana.
  6. nzoka ya pi

    JamiiForums Tanzania Namuacha huyu mwanamke, sababu anavaa kikuku

    Mkuu uamuzi mzuri ni uhuni tu hakuna lolote
  7. nzoka ya pi

    JamiiForums Tanzania Mgeni.

    Karbu sana jukwaani ujifunze na ukutane na changamoto mbalimbali za maisha ya watu humu ambazo zitakujenga piah kwa ambazo ni za msingi.
  8. nzoka ya pi

    JamiiForums Tanzania Dokta Avamiwa Usiku, Achinjwa

    Mungu aturehemu na zaidi ampumzishe kwa amani.
  9. nzoka ya pi

    JamiiForums Tanzania Wamepoteza sifa japo wanatamani kuolewa

    Naunga mkono hoja
  10. nzoka ya pi

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nimenunua soda na kukuta ina uchafu ndani yake lakini ilikuwa bado imefungwa

    Kweli ata mimi binafsi imeshanitokea tena zaidi wakati mwingne unakuta vikutu kutu ukishaifungua tu chupa kwenye mdomo wake
  11. nzoka ya pi

    JamiiForums Tanzania Sababu za magonjwa ya figo

    Asante kwa ujumbe mujarabuu kabisaa
  12. nzoka ya pi

    JamiiForums Tanzania UEFA 2017/2018 kutawaliwa na timu za uingereza,uholanzi na ufaransa!!

    Mkuu umetishaaaa
  13. nzoka ya pi

    JamiiForums Tanzania Wanaume kupotea baada ya muda mfupi wa mahusiano

    Sio wote labda sema hao wachache uliokutana nao
Back
Top Bottom