Dokta Avamiwa Usiku, Achinjwa

Dokta Avamiwa Usiku, Achinjwa

Inatisha!
Madokta wengi wanaovamia ukifuatilia ni visasi, kwa mfano labda mgonjwa alipimwa akagundulika ana UKIMWI, sasa Dr. ambaye hana maadili akamtangaza, na yenyewe husababisha wanauwawa, ila sijasema huyu ndio sababu ya mauti yake!
Poleni wanafamilia , roho ya marehemu ipumzike kwa amani
 
Back
Top Bottom