Tamko LA mkuu ndo sheria hapo haliko kwenye maandishi hii ni Kwa mjibu Wa sheria zetu kwani rais hakosei labda tungekuwa nchi iliyoendelea njua tungekuwa na umakini Wa madaraka ya rais has a ukizingatia hats ufunguo Wa silaha za nukria anakabidhiwa yy na hawezi kutoa maamuzi ya matumizi ya...
Hiyo Mkurugenzi Wa Iringa aliyeandika hiyo barua VP kuwataatifu wakurugenzi wote nchini yafanyike maandamano kumpongeza rais Kwa utendaji wake nzuri na uliotukuka,lakini ndo hivyo tumeamua wakurugenzi nao wawe wanasiasa sijui sasa hivi kimebaki cheo gani ambacho ni serikali kamili ambacho...
Mo anapoteza hela yake bure jibu lilishayolewa cku nyingi hizo ni timu za wananchi wakitaka wakaanzishe timu zao kama alivyofanya azam!fef kutoka Kwa karibu BMT!
Kwani hata kagame alianza VP,nashukuru Kwa kuwashtukia wapambe Wa mpango huo,tusubili mda utaongea wameanza kama wananchi na baadae watakuja wabunge,refer hotuba ya Mwalimu kuchezea katiba,lakini Kwa Mimi Kwa magufuli sijui kama atakubaliana na hill Kwa cku zote analalamika Kwa watanzania kumpa...
Kama ni mbovu unamlalamikia Mani humu au umetumwa !kula MTU ananunua kitu aidha Kwa kuona Fulani ana cm nzuri kama unaona haifai cm zipo aina nyingi kachague uyotaka ukitaka za kuungua zenyewe is OK!
Mbona mnahisi ni tatizo LA cm Kwa nn usihisi ni matatizo ya mitambo kama ni voda,airtel au tigo!mm Nina cm yangu ya techno p5 natesa nayo huu mwaka Wa 5.5!
Askari wanamajukumu mengi na uelewa Wa mipaka ya kazi kwani amri inayotolewa Kwa watu walikuwa kazini unaleta usumbufu ambapo haya wangewakamata bado wangetoka na kuweza kufanya kazi isiyo na maana na wanajua amri za kukomoana haina tija,lakini angependa angeenda mwenyewe kama alivyokuwa...
Nashangaa watu wanaongelea sana kuhusu wizi Wa rasimali za taifa,hivi rais wetu kafungua njia lakini kuna watanzania wengine hawaitakii nchi neema! Hivi nawaomba sana kama vita tumeidhamilia tuchukue hatua kwani hao wapo lakini tukiendelea na kufumbia macho waharifu haya ni bora tukawaacha...
Kuna MTU anaipigia debe Iringa nn! Mkoa hakuna mgodi Wa dhahabu au Yale malori yatakuwa yanatoka Kahama hadi Iringa!haya miaka ya nyuma Alma's inachimbwa shinyanga unaenda kukatwa iringa(tancut)kulikoni?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.