Simba kufuru:Ngoma abugizwa 180m,kusaini mda wowote

Simba walipaswa kumsajili msuva tu kutoka Yanga. Hawa wazee wanakata pumzi sana. Simba inavijana wenye kucheza mpira haraka,tatizo lilikuwa kwa mtu wa kuona lango na Beki tu. Hii habari ya mibabu isee wategemee vilio maana wanakuja kustaafia simba.
 
Simba walipaswa kumsajili msuva tu kutoka Yanga. Hawa wazee wanakata pumzi sana. Simba inavijana wenye kucheza mpira haraka,tatizo lilikuwa kwa mtu wa kuona lango na Beki tu. Hii habari ya mibabu isee wategemee vilio maana wanakuja kustaafia simba.
Wachache wenye uelewa kama wako, lakn viongozi wa hizi timu zetu ndo wanatufikisha hapa tulipo
 
Sasa mkuu haya magarasa ukimuweka na John Boko kweli ndio ya kufufua Simba ?
Experience inatakiwa, kikosi cha msimu uliopita kimataifa hakiwezi! Lazima kuwe na wazoefu kama wanne, sijajua kama wanaoongelewa ni sahihi au la ila experience level ya kimataifa wanatakiwa!
 
Dani Alves ana umri gani?? Ronaldo ana umri gani?? Giggs alistaafu akiwa na umri gani?? Luca toni alistaafu akiwa na umri gani??
Rais wa Marekani unajua kwa jina na sura. Wa Maldives mbona humjui? Wote si maraisi wa nchi zao? Tujue jinsi ya kulinganisha.
 
Baada ya Ngoma mchukueni Chirwa, Bossou na Mkata umeme! Naona mmebadili sera yenu ya kusajili wavulana! Hamueleweki mnajenga, mnaimarisha au mnabomoa timu!
Kwa soka la kibongo bongo ukitaka kuijenga simba au yanga ni lazima kwanza uanze kuivuruga saikolojia ya timu pinzani kwenye usajili. yanga wanafanya hayo na sasa ni zamu ya simba kuvuruga yanga. hakuna namna acha wavurugwe wasubiri zamu yao
 
5667d789546e7e65c21d97069cb5f175.jpg
a6d0e4d04752d4594bb070375083a8f9.jpg
 
Nini Ngoma hata Cannavaro yuko kwenye rada za Simba .... swala ni mzigo mezani umetimia?... Wacha maneno cheza muziki.
 
Mo anapoteza hela yake bure jibu lilishayolewa cku nyingi hizo ni timu za wananchi wakitaka wakaanzishe timu zao kama alivyofanya azam!fef kutoka Kwa karibu BMT!
 
Back
Top Bottom