YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,900
- 52,055
Ulitaka barrick wakupe taarifa Za feasibility study wewe Who are? Wao ni wawawekezaji binafsi wamefanya saa ngapi hayakuhusuHii habari ni ya uongo tena Wa siku takatifu ya j.Pili.
Swala la kizushi , ni lini upembuzi yakinifu "feasibility study" ilifanyika na kuonesha kuwa Iringa region is the viable place to build such a smelter?