Recent content by Nyumbu9

  1. N

    JamiiForums Tanzania Sherehe za kumuaga Samweli Sitta zavurugika Dodoma

    Duh kumbe tangu mwaka 2010 ndo anaagwa mwaka huu.!!! Magamba bwana wanamuda wa kuchezea.
  2. N

    JamiiForums Tanzania Sherehe za kumuaga Samweli Sitta zavurugika Dodoma

    Kwanini Sitta anaagwa?Kwani anachia madara au anakwenda kufanya majukumu mengine?naomna nifaamishwe jamani
  3. N

    JamiiForums Tanzania Revealed!! CHADEMA ilitumia mitambo maalum ya DVR kurekodi mkutano wa tarehe 15/06/2013

    Ndg makamanda msijali sana mwenyeketi kashasema kuwa anasubiri Raisi aunde tume ya majaji wa kimahakama kufuatilia swala hili apo ndo atatoa izini ya kukabidhiwa kwa hiyo video.Wakigoma kifanya.ivyo video hiyo itapelekwa kwenye mahakama ya Umma ili umma ukatoe hukumu yenyewe... Naona kifo cha...
  4. N

    JamiiForums Tanzania NINA MASHAKA NA UAMUZI HUU ULIOFANYWA NA Mh Mbowe:

    Kwaiyo ulitaka cdm wakae bungeni wakati wakipulizwa kiyoyozi uku wananchi wasio na hatia wanauwawa kule Arusha? Ulitaka CDM wasifanye chochote tu watulie kimyaaaa?!!?wewe waluokutuma kawambie hata muendele kuuwa wananchi kulipua makanisa na kutisha wandishi wa habari ni lazima mtang'oka tu...
  5. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mama mkwe ameniuliza mimi na mtoto wake tulikutana wapi?

    Ulipaswa umjibu tu wala sio swali gumu sana na nilakawaida kabisa.Alitaka kujua kuwa mtoto wake bahati iyo ilimkutia wapi.
  6. N

    JamiiForums Tanzania Fundi simu aina zote (flashing and unlocking) only software problems.

    Fundi niliformat memoli kadi yangu ya simu ya sumsung bahati mbaya je unaweza kurudisha picha zilizigormatiwa kwenye iyo memory card?
  7. N

    JamiiForums Tanzania Anatafutwa! : Cornelius Maganga Malewa

    Yupo mwanza mwananchi communication.Ila nilisikia pia alitoka lakini bado yupo mwanza adi sasa
  8. N

    JamiiForums Tanzania Ni kweli vurugu za Arusha wanachuo wawili wamefariki?

    Ningeomba kujua baada ya police kupiga mabomu.Hali iliendelra kuwaje apo chuoni?Sababu gani.zilizotolewa za kukifunga chuo kwa muda?Police waliaidi nini labla kwa wanachuo kuusu muaji wa mwanagunzi mwenzao?Mpaka sasa kuna muhusika yoyote aliyekamatwa kuusiana na mauji.hayo?Hili la lema najua ni...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Kwenda kazini siku ya MUUNGANO-26.04.2013

    Ajira ni btn wewe na muajiri wako sasa unataka kusikiliza ya umu yakisaidie nini?wewe nenda kazini kama ulivyotakiwa na boss wako si iliomba mwenyewe kazi we vp!!!!
  10. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanaume

    Kweli wanawake wa siki izi ni.majambazi.Eti kanuniliwa king'amuzi alafu akala kona.
  11. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanaume

    Duh hii kali
  12. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanaume

    Ni pm vigezo vyako na wewe jinsi.ulivyo nipo serious.
  13. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania For JamiiForums Mobile users

    Mbona sioni rangi yoyote ikitokea kwenye neno
  14. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania For JamiiForums Mobile users

    (color=red)Form(/color)
  15. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania For JamiiForums Mobile users

    (colour=red)mobile(/colour)
Back
Top Bottom