Ndugu zangu habarini za asubuhi, mm nafanya kazi kampuni binafsi leo nilipoingia kibaruani mkuu wa idara akasimama na kutangaza kesho ni siku ya kazi kama kawaida, naombeni kuuliza je ni halali kwenda kazini wakati ni sikukuu ya kitaifa. naombeni ushauri wenu wajuzi wa hili