Hukupata tu shule nzuri ila hizi english medium ni msingi mzuri sana kwa mtoto na sekondari unaweza mpeleka kata na akatoboa kwani yale ya sekondari ndio ya shule msingi ni lugha tu imebadilika
😃😀😄 kitaa noma unaanguka na kuinuka, unapata kazi unafukuzwa baada ya mwaka mmoja, unasema uanze biashara inakufa baada ya miaka miwili😀🙃 unaanza tena kutafuta kazi 😀
Hv umefikiri mara mbili kabla hujaandka huu utumbo? Ulitaka lisu awe peke ake pale km yatima, aonekane hana ndugu, marafiki n.k. km ww huna moyo wa kuwafariji wenzio wanapokua na matatzo kaa kimya.
Ujue wakiwa kule ht mgonjwa kdg anapata unafuu na mke wake pia zle stress znapungua
Sent using...
Apambane na hali yake,aache kutaka mambo makubwa wakat hayawez, kwn angeish km sisi angekufa? Aljua kabsa hana pesa alienda hotel ya bei kubwa hvyo alitegemea nn?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ht mm nna mtoto na nmeolewa, waache hao wenye dhana zao potofu na tena nnaish kwa aman na huyu baba anaish na mwanangu km mwanae wa kumzaa kila kitu anapata wala ht hambagui
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.