Nani anagharamia matumizi ya Lema, Msigwa na Mbowe huko Nairobi?

Habari Wanajamvi,

Kwanza natanguliza pole na kumtakia mema Kamanda wetu Tundu Lissu. Lakini najaribu kufikiri kwanini Msigwa na Lema bado wako Nairobi?

Kwa gharama za nani? Kama za kwao kwanini wasirudi nyumbani kisha hizo fedha wachangie kwenye matibabu?

Tena lile jopo limeambatana na Wake na wenza wao, WHY?

Yawezekana na wao ni sehemu ya matumizi ya fedha zinazochangwa na Watanzania walalahoi........

Jamani rudini nyumbani tuhamasishe michango maisha ya Nairobi ni ghali sana......
wewe na mke wako mtaghalimiamikia!!!
 
Mwenyekiti wetu kahama nchi anachangisha michango akiwa nje ya nchi aktoka hapo atampigia Wema a fly to Nairobi
 
Madaam mtu unachanga mwenyewe kwanini uumie..

Simu yako ! Mpesa/tigo pesa ya kwako!

Kutuma unatuma wewe mwenyewe....sasa inauma nini?

Kama ni kweli wanakula wale tuu..manake hawajalazimisha mtu atoe.
 
Najua hashindwi wala sijasema anashindwa lakini juhudi na upendo wake umedhihirika katika anga la Tanzania lakini kwanini asirejee nyumbani na hizo fedha akaziwekeza katika kuokoa maisha ya Lissu? Huoni kama atakuwa amefanya kitu Positive zaidi?
Kwani wakirejea Tanzania watakuwa wanahudumiwa na serikali au wataendelea kujihudumia wenyewe?
 
Hv umefikiri mara mbili kabla hujaandka huu utumbo? Ulitaka lisu awe peke ake pale km yatima, aonekane hana ndugu, marafiki n.k. km ww huna moyo wa kuwafariji wenzio wanapokua na matatzo kaa kimya.
Ujue wakiwa kule ht mgonjwa kdg anapata unafuu na mke wake pia zle stress znapungua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi unategemea mtu kama Lema aliyesaidiwa kwa hali na mali na Tundu Lissu hadi akarejeshewa ubunge wake leo ashindwe kuishi Nairobi kwa gharama zake binafsi za kula kulala na kusafiri kwenda hospitali? Wala hashindwi! Yule kule Nairobi anaishi kwa gharama zake na vilevile mchango anatoa. Msigwa yeye alikuwa miongoni mwa wabunge wawili walioondoka na mgonjwa na hawezi kurudi yeye wala Mbowe mbali na kwamba wanatumia gharama zao binafsi.

Mimi mwenyewe naelekea huko na sitashindwa kuishi kule hata kwa mwezi mzima kwa gharama zangu na michango ya matibabu naenda kutoa. Roho ndogo kama hiyo muachie Magufuli mkuu, wewe hutakiwi kuwa nayo!
Mi mwenyew naenda huku kwan maish ya kenya Shngp kupanga room kula na nauli ishindikane

Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
 
Hivi unategemea mtu kama Lema aliyesaidiwa kwa hali na mali na Tundu Lissu hadi akarejeshewa ubunge wake leo ashindwe kuishi Nairobi kwa gharama zake binafsi za kula kulala na kusafiri kwenda hospitali? Wala hashindwi! Yule kule Nairobi anaishi kwa gharama zake na vilevile mchango anatoa. Msigwa yeye alikuwa miongoni mwa wabunge wawili walioondoka na mgonjwa na hawezi kurudi yeye wala Mbowe mbali na kwamba wanatumia gharama zao binafsi.

Mimi mwenyewe naelekea huko na sitashindwa kuishi kule hata kwa mwezi mzima kwa gharama zangu na michango ya matibabu naenda kutoa. Roho ndogo kama hiyo muachie Magufuli mkuu, wewe hutakiwi kuwa nayo!
Lift imewaponza, wanasubiri ya kurudi....nawaza kwa sauti

ikiuma sema...
 
Back
Top Bottom