Washikaji mliopo viwanja vya NMC tupen updates za nini kinaendea huko. Halafu wadau wengine achaneni na hao wakin ritz na mzee11 wanataka kuharibu mlolongo wa mzur wa habari kama vp wapotezeeni tu coz hakuna kiongozi wa magamba aliyefanya jambo la kishujaa kamanda lema na huwa wakisikia chadema...
Ndo kaz yenu mliyotumwa kupeleka vi memo kwa kikula. Anyway haki itapatikana tu braaa.... Mpaka sasa mwakibinga ni shujaa. Na hizo njaa zenu watawavua tu ch**pi kule utawala mpya mnako jipendekeza.
Ki ukweli CCM inaogopa vijana hasa wasomi sababu walifikiri UDOM itakuwa ngome yao ya kuwateka vijana, lakinI kumbe UDOM sasa ni kama waasi wa Bhengazi wapigania haki na uhuru.
Na ndio maana kila siku zengwe huwa zinaundwa kwa watu waliokuwa wanajulikana kama nguvu ya umma na hata wale...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.