SIMBACHAWENE: Sikufumaniwa

SIMBACHAWENE: Sikufumaniwa

Rumours are carried by Haters,Spread by foolish and Believed by Sillies!!!!!!!!!!!
 
hebu weka kitu kizima wengine ndo tunaingia jf tulikuwa mbali. Amefanya kama ya Mwigulu Nchemba?
 
Yeye si mtu muhimu chamani wala serikalini. Hana 'influence' za kiuongozi hadi azushiwe. Ni mtu mdogo sana nchi hii. Habari ya kufumaniwa kwake yeweza kuwa imekosewa kuwa amejeruhiwa. Lakini,kufumaniwa kwabaki. Hana heshima kubwa nchini ili kumwinda kwa uzushi. Asifungue tena mdomo wake...

Tatizo hakuna uthibitisho.. Inabaki ni nadharia tu..
 
Ni magazeti gani yameandika habari za yeye kukanusha?ameongea mbele ya media gani?je hizo media za kuaminika?kama aliwaonyesha hao wana habari pana ushahidi wa picha na hasa wa video?magamba mta win minds za wenye akili ndogo tu!nilipoona ile habari nilijua tu lazima watafanya kila juhudi kuizima,ila kamwe uongo hautakuwa ukweli na ukweli utabaki kuwa ukweli tu na hauwezi kuuficha milele
 
chama chetu kina wazinzi wengi, yaani kuanzia mwenyekiti mwenyekiti wetu. Na mbaya zaidi kufumaniwa kwetu ni ujiko wakati nchi nyingine kufumaniwa ni kashfa kubwa ya kukufanya ujiuzulu
 
Hii wizara ya nishati na madini ina nini na manaibu wake?
Malima - Morogoro
Chawene - Singida
 
mwenye hoteli:kigogo wa serikali kafumaniwa na mke wa askari
Kigogo wa serikali:sikufumaniwa mimi ila ni mtu mwingine
Polisi:hakuna tukio kama hilo limetokea katika hotel hiyo

labda tumuulize na Rais labda yeye amepewa information nyingine

yaani hii tanzania ni zigzag hapo tukio ni limoja lakini maelezo ni matatu tofauti na tukifatilia kwa mlinzi nae atatoa maelezo yake tofauti
 
Yeye si mtu muhimu chamani wala serikalini. Hana 'influence' za kiuongozi hadi azushiwe. Ni mtu mdogo sana nchi hii. Habari ya kufumaniwa kwake yeweza kuwa imekosewa kuwa amejeruhiwa. Lakini,kufumaniwa kwabaki. Hana heshima kubwa nchini ili kumwinda kwa uzushi. Asifungue tena mdomo wake...

Leo mnakuja na nyimbo ile ile lakini mistari mipya, kwi kwi kwi teh teh teh, mngekuja na "single" mpya, hiyo ime flop.
 
huyo jamaa 2namjua sisi aliwahi kumpangia chumba demu mmoja mitaa ya kiwalan ccm na alizaa nae mtoto m1 wa kiume yan jamaa kicheche balaa...Vingungut kuna bar inaitwa titanic ndo yake mabaamed wote kapita...
 
  • Thanks
Reactions: amu
Alifumaniwa kweli. Hii ni kutokana na mkanganyiko toka kwake na kwa RPC
 
Back
Top Bottom