Makamada wapya wa CHADEMA wapokelewa katika tawi la UDOM

sasa mtoto wa 1st year aanze kushabikia siasa ..... atafika mbali kweli ... siasa ni dirty game ... mi na washauri wapige kitabu uchaguzi ukifika wafanye maamuzi sahihi
Wapo watu humu sijui kama wanafahamu siasa, nina mashaka kama kweli wamemaliza hata degree moja na hawa ndio wanaowashawishi makinda kuingia kwenye mchezo wa siasa. Madogo shule kwanza ujinga mwingine baada ya shule.
 
Ndo kaz yenu mliyotumwa kupeleka vi memo kwa kikula. Anyway haki itapatikana tu braaa.... Mpaka sasa mwakibinga ni shujaa. Na hizo njaa zenu watawavua tu ch**pi kule utawala mpya mnako jipendekeza.

nani kasema mwakibinga shujaa? Kila siku analia anaomba asifukuzwe kazi kwa taarifa yule jamaa ni askari magereza sisi wajinga wajinga wote tunaondoa hatuwezi kubali kuwepo na migambo
 
nani kasema mwakibinga shujaa? Kila siku analia anaomba asifukuzwe kazi kwa taarifa yule jamaa ni askari magereza sisi wajinga wajinga wote tunaondoa hatuwezi kubali kuwepo na migambo

Kumbe humjui MWAKIBINGA ww.? Nitafute bk 10 nikupe details zake acha kudanganya watu ww.
 
Hawa ni Watu wazima. Kuwashauri kuhusu shule ni sawa na kumshauri mtu ale chakula. Acha Ushamba wewe. Hata sisi wengine tumepitia huko huko na tulikuwa Wanaharakati na tumetoka na degree zetu safi.
Mpashe mpashe maana kama ingalikuwa ni CCM maneno haya yangalikuwa hayapo ila kwa kuwa ni Chadema basi washauriwe wasome upuuzi mwingine bwana kama ule wa kununuliwa suti ukubwani .
 
sasa mtoto wa 1st year aanze kushabikia siasa ..... atafika mbali kweli ... siasa ni dirty game ... mi na washauri wapige kitabu uchaguzi ukifika wafanye maamuzi sahihi


una tatizo mahali
 
Jana Naibu waziri wa Elimu Philipo Mulugo ameruhusu wanafunzi wa vyuo vya elimu
ya juu kufanya siasa (kuandamana) vyuoni, badala ya kusoma alama za nyakati na kutambua
kwamba nchi hii itakombolewa na vijana wasomi kama wa UDOM na njia mojawapo
ni maandamano!

Read Philipo Mulugo ahamasisa vijana wa vyuo vikuu kuandamana kushinikiza vijana
waliokopeshwa Elimu ya juu kurudisha mikopo. Mwananchi 07/11/2011
 
wanafunzi wapya wa mwaka wa kwanza 1 st degree na postgraduate candidates wa cdm wamekaribishwa rasmi leo katika tawi la udom chadema, tayari kwa kazi ya ukombozi. Vivaaaaaaaa. Chadema mpaka kieleweke.

cdm mnatumia vibaya maeneo ya vyuo kwa kuendeshea shughuli za kisiasa, waacheni watoto wa wakulima wasome kwa bidii badala ya kuwazia maandamano!
 
Ni upungufu wa kifkra kuwasisitiza watu wasome kwa kudhani hao ni LY-darasa la saba,na hii inaonyesha uowoga wa CCM maana wanahofu na vijana kujiunga na CDM ili kuleta ukombozi wa kweli ndani ya taifa hili
 
Ki ukweli CCM inaogopa vijana hasa wasomi sababu walifikiri UDOM itakuwa ngome yao ya kuwateka vijana, lakinI kumbe UDOM sasa ni kama waasi wa Bhengazi wapigania haki na uhuru.

Na ndio maana kila siku zengwe huwa zinaundwa kwa watu waliokuwa wanajulikana kama nguvu ya umma na hata wale waliosimamishwa kutokana na mgomo wengi wao ni wafuasi wa chadema ambao wengine wanakaa off compus na hata hawakuhusika hata chembe.

Lakin cha kujiuliza kama siasa zinakatazwa vyuoni mbona unapo ingia chimwaga unakuta bango la ccm. Mbona nape alikuwa anakuja tena mpaka hostel sasa anakuja kufanya nn wakati yy sio kiongoz wa serikali.?
Tawi la ccm udom liko wp?
 
Siasa uanzia vyuoni.
Nihapa tu kwetu rais anakambia kufika vyuoni na kuutubia.
Dunia nzima ansikia rais kawautubi wanachuo maswala na mstakabali wa nchi.
Ukumbuke pale kuna watahalamu wa kila aina ambao wanauwezo kuzaidi yake kila idara.
Kumbuka viongozi wa sasa hapa kwetu wameanzia harakati zao vyuoni.
 
sasa mtoto wa 1st year aanze kushabikia siasa ..... atafika mbali kweli ... siasa ni dirty game ... mi na washauri wapige kitabu uchaguzi ukifika wafanye maamuzi sahihi
haka kana dharau eeh?
 
Back
Top Bottom