Mlima Kilimanjaro washindwa kwenye fainali za New 7 Wonders of Nature

Inasikitisha sana waTZ kukosa Uzalendo kwa kurelate kila kitu cha taifa na CCM.JE ungeupigia na ukashinda na Chadema wakichukua hatamu za hii nchi bado mlima utakuwa CCM? Acheni usiasa mavi huo mnahukumu hata vitu visivyo na uhai kwa kumix na siasa.VITU VINGINE NI VYA KISIASA NA VINGINE VYA KITAIFA amkeni.Mi mwenyewe nimechoshwa na serikali yangu lakini sio kwa kipimo cha kupelekea kushindwa ku contribute mambo ya ujenzi wa taifa langu.
 
We una simu au computer si ungepiga kura ili ushinde.?
 
Afadhali tumeshindwa kwasasbabu endapo tungeshinda basi CCM yalivyo mambumbumbu yangeitumia kujisifia kwenye kampeni za 2015.

Du! Hili sikubaliani nalo kabisa kwamba ni afadhali tumeshindwa!!! Kumbuka hata kama CCM wangetumia kushinda kwa Mlima Kilimanjaro, waTz wameshaerevuka sana, sitegemei waendelee kuwadanganya na kuwalaghai tena. Naziona dalili zote CCM kushindwa 2015 kwa namna yeyote ile. Mlima Kilimanjaro ungelishinda ingekuwa ni kwa manufaa yetu wote bila kujali ni chama gani kipo madarakani. Hili linanipa wasiwasi juu ya uzalendo wetu. Kuna mambo hayahitaji ushabiki wa kisiasa kama hili la mlima Kilimanjaro. Fikiria leo ukafanyika uchaguzi wa Rais na CHADEMA au CUF wakashinda, serikali isingenufaika na Mlima huu kuwa miongoni mwa maajabu 7 ya dunia? Tusifikirie leo tu, fikiria kesho CHADEMA au CUF kitakapo unda serikali.
 
wakubali wakatae kilimanjaro ni ajabu la dunia hata kama limeshindwa kwenye mashindano yao

ndio ni ajabu la dunia nan kabisha?ajabu lake ni kuwa'UKIWA KENYA UNAU0NA,UKIWA TANZANIA UNAUPANDA'hlo nalo la ajabu
pia lingne'UKIWA NG'AMBU UNAAMBIWA UPO KENYA,ILA UKIWA AFRIKA MASHARIKI UNAAMBIWA UPO TANZANIA'
 
Du! Hili sikubaliani nalo kabisa kwamba ni afadhali tumeshindwa!!! Kumbuka hata kama CCM wangetumia kushinda kwa Mlima Kilimanjaro, waTz wameshaerevuka sana, sitegemei waendelee kuwadanganya na kuwalaghai tena. Naziona dalili zote CCM kushindwa 2015 kwa namna yeyote ile. Mlima Kilimanjaro ungelishinda ingekuwa ni kwa manufaa yetu wote bila kujali ni chama gani kipo madarakani. Hili linanipa wasiwasi juu ya uzalendo wetu. Kuna mambo hayahitaji ushabiki wa kisiasa kama hili la mlima Kilimanjaro. Fikiria leo ukafanyika uchaguzi wa Rais na CHADEMA au CUF wakashinda, serikali isingenufaika na Mlima huu kuwa miongoni mwa maajabu 7 ya dunia? Tusifikirie leo tu, fikiria kesho CHADEMA au CUF kitakapo unda serikali.

Wwweeeeee acha hizo ,mimi nilijua tutashindwa, kwani wananchi walipomuona Mwinyi, mama kikwete, Mizengo pinda ndiyo wahamasishajiwakajua ni issue ya ccm chama ambacho hakitakiwi.Hakuna kijana aliyepiga kura baada ya kuonekana sura hizo CCM kwishneeeeeeeeeeeeeee!!!!!
 
Wapendwa wana JF wenzangu, napenda kuwafariji kwa taarifa hizi za kushindwa kwa mlima wetu Kilimanjaro kushinda kama moja ya maajabu 7 ya dunia. lakini naomba tujifariji kwa kukumbuka kwamba tupo katika nchi 10 za ajabu zaidi duniani kutokana na ukweli kwamba kuna maliasili nyingi katika nchi yetu ambazo tumeanza kuruhusu ziporwe, na wakati huo huo ni masikini wa kutupwa. ukitaka unaweza kugundua maajabu mengi tu ya watanzania ambayo yanazidi sehemu nyingine za dunia hii. angalau tujifariji kwa hilo
 
Watanzania kwa kuzima moto balaa kumbe tangu 2009 wanakuja kusema umebaki mwenzi!! hii ni hatari
 
Kwa hiyo kura zangu za bure zote zaidi ya 100 ndio zimeenda....kweli bure ni gharama
 
Watanzania kwa kuzima moto balaa kumbe tangu 2009 wanakuja kusema umebaki mwenzi!! hii ni hatari

Hili lilikuwa ni dili la watu fulani kujipatia pesa kupitia mitandao ya simu,
eti mnahimiza watu wapige kura kwa sms! Haya nayo ni maajabu...
 
Mt. Kilimanjaro ungeweza kushinda kama Makame Lewis na Rajabu Kiravi
wangekuwa kwenye tume ya New & wonders of Nature.
 
We una simu au computer si ungepiga kura ili ushinde.?

Nimepiga tena kwa ID mbalimbali.USIFIKILI WALIKUWA WANATAKA KURA YANGU PEKE YANGU ILI USHINDE.tambua uwana harakati chanzo chake uzalendo sio fujo na kiburi pasipo kutumia akili.
 
kama sisi watz wenyewe ndio huwaga tunapelekaga mapendekezo ya vitu vya kushindanisha huko kwenye ngazi ya dunia, basi tuwe tunapeleka vile vitu vinavyouzika kirahisi.

mfano....mwizi wa kuku ($5) kuswekwa jela huku yule aliyeiba $100M akiendelea kutanua mtaani huku pia akitukuzwa!

list ya maajabu yanayoweza kutupa ushindi ni ndefu....ongezeeni nyingine!
 
Ingawa siwapendi CCM, kwa hili la kushindwa kwa mlima wetu ,dah..!not feeling good..realy upset, sijui kwanini wakenya hawakutusaidia promo? Manake the rest of the world wanajua uko kenya, loh.!
 
Back
Top Bottom