Recent content by nyokamwenye makengeza

  1. N

    JamiiForums Tanzania Suala la Tanzania na Kenya, mahusiano mazuri siyo sababu ya kutoheshimu sheria za nchi nyingine

    Povu lina kutoka kwa nini tuliza mshono,hayo ni maneno tuu na vitendo vitafuata... bado kitambo kidogo atajulikana nani mpuuzi....
  2. N

    JamiiForums Tanzania Tanzania yatabiriwa makubwa kiuchumi

    Hivi Ethiopia wana tanzanite,ama almasi..,aahh labda dhahabu..,gesii...,mbuga za wanyama.., Amakwelii..... Tunabidi kuomba ama kutumia akili za majirani zetu sasa....
  3. N

    JamiiForums Tanzania Withdraw method imenishinda

    Haikatai iyoo
  4. N

    JamiiForums Tanzania Kweli nimemkubali John Pombe Magufuli kwa kurudisha heshima nchini

    WABABA TUNASEMA........ 1. "Ni afadhali kuwa na jeshi la kondoo linaloongozwa na Simba, kuliko jeshi la simba linaloongozwa na kondoo." *Napoleon_Bonaparte.* 2. "Lengo la kwanza la vita sio kufa kwa ajili ya nchi yako, hapana. Bali ni kuua mtu mwingine kwa ajili ya nchi yake." *George_Patton.*...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Who ever watched live couples having sex ? I had an opportunity today

    Wish I could be admin.....
  6. N

    JamiiForums Tanzania Mwanaume jina nimfanyeje?

    WABABA TUNASEMA........ 1. "Ni afadhali kuwa na jeshi la kondoo linaloongozwa na Simba, kuliko jeshi la simba linaloongozwa na kondoo." *Napoleon_Bonaparte.* 2. "Lengo la kwanza la vita sio kufa kwa ajili ya nchi yako, hapana. Bali ni kuua mtu mwingine kwa ajili ya nchi yake." *George_Patton.*...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Mrejesho wa Albadiri

    Singida ila kwa siri sanaaaa
  8. N

    JamiiForums Tanzania Wanachama zaidi ya 860 wa CHADEMA wahamia CCM Arusha leo tarehe 02/09/2017

    Uzalendo kwanza vyama baadae..
  9. N

    JamiiForums Tanzania Jina lako la kichawi

    Mshana em ni juze first letter of my first name niB,na last letter of the last name ni E haapa inakuwa jee
  10. N

    JamiiForums Tanzania Msemaji wa Serikali akiri ndege mpya ya Bombardier Q 400-Dash 8 kushikiliwa nchini Canada. Awatupia lawama wanasiasa...

    Hapa ndipo naipenda nchi yangu tanganyika na muunganiko wake zanzibar,hivi kwa maswali ya namna hii muulizaji unategemea majibu ya wejee..... Kama ni Nyeti umeshika pabaya munooo...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Nimekuelewa Kipanya

    Mbona maneno ya kawaida hayo kwan alikuwa hajui....., Akawaulize wa maasai(legwanani..)wanajua suala hili kwa mfano hai kabisaa Alaf watanzania tupende utalii wa ndani tutafaidi sana
  12. N

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi kuhusu kanisa Katoliki kutokuwafanyia maziko ya kikanisa baadhi ya waamini wake

    Ninacho uliza ni "wewe ni nani kujiona mkamilifu mubashara na kumuona mwingine si mkamilifu,nani kakupa mamlaka ya kuhukumu... Je wanadam wote tu na safari moja..(kufa) Iweje leo tufikie mahali tu hukumu... Tukumbuke hata Yesu alipokuwa Msalabani mda mfupi kabla ya kukata Roho alimwambia mmoja...
Back
Top Bottom