nyokamwenye makengeza
Member
- Jul 14, 2017
- 24
- 33
Mshana em ni juze first letter of my first name niB,na last letter of the last name ni E haapa inakuwa jee

Wote mnaotekwa na huyu, mna ujinga wa kiwango cha uprofessa!
Eti angalia jina la kichawi nawe unajikurupukia. Tena leo ni jumapili Mungu anawaona.
najua kilichokuuma ni tafsiri ya A-cursed! Yaani mlaaniwa.... Nafahamu fika uliangalia kwanza kabla ya kureply...au akitaka usome basi afanye ku edit sifa za herufi yako ya kwanza.Sina muda huo wa kuangalia ujinga ww bonyaa.
Sijaelewa umeandika lugha gani hiyo....au akitaka usime basi afanye ky edit sifa za herufi yako ya kwanza.
Mshana jina la ubini ni lipi ndugu wengine kiswahili tulipata bashiteNiwatakie baraka tele na amani kwa wale watakaojaaliwa kwenda ibadani.... Ni jambo jema, tena la kheri.... Mkawaombee na wote wenye shida mbalimbali za kiroho na kimwili pia, ugongwa na taabu, wasafirio nchi kavu angani na bahatini..... Muwakumbuke yatima na wajane pia... Aamen
Kama ilivyo kwenye maisha yetu kila mmoja hakosi jina, liwe la kimila ama la kizungu au la kiarabu ni jina lako, liwe la kujipachika mwenyewe, la utani ama la bandia bado litabaki kuwa jina lako.....
Lakini vile vile kila mmoja wetu hapa ana siku yake! I mean siku ya kuzaliwa na kufa pia! Kila mmoja wetu ana bahati yake, nyota yake nknk... Huo ndio ukamilifu wa mwanadamu KUMILIKI.....
Tunamiliki vizuri na vibaya! Visivyoonekana na vinavyoonekana.... Tusivyovijua na tunavyovijua... Jina la kichawi ni mojawapo ya vitu unavyomiliki kiasili
Imekaaje hii? Utajuaje? Unalipataje jina lako la kichawi?
Chukua herufi ya kwanza ya jina lako na herufi ya kwanza ya ubini wako kisha linganisha na tafsiri yake kwenye jedwali la kizungu hapa chini.... Ni rahisi mnoView attachment 580503kama kuna shida kidogo ya lugha tafuta kamusi ama lete hapa utapata tafsiri yake sahihi kwa kiswahili fasaha (sio kikwenu) linganisha tafsiri hiyo na maisha yako... Unaweza kujikuta wewe ni mchawi mahiri bila kujijua
Zingatia wale tunaowaita wana midomo mibaya! Kwamba akikutamkia jambo baya lazima likutokee... Akikwambia UTAKUFA.... Utakufa kweli![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi si nimekupa tafsiri tu kiongozi
Ukisoma wakati umetulia utaelewaSijaelewa umeandika lugha gani hiyo.
Kwani kuna kusoma huku unatikisika?Ukisoma wakati umetulia utaelewa