Wanachama zaidi ya 860 wa CHADEMA wahamia CCM Arusha leo tarehe 02/09/2017

xaverypeter

Member
Nov 2, 2011
45
95
Huyu dogo anatafuta cheo kipumbavu sana,anajipendekeza kwa kina Mrisho Gambo mpaka anatia kinyaa!!Anasahau kuwa yeye ni mtumishi wa umma asiyepaswa kujiingiza katika hizi siasa,ujinga alionao,baada ya huu uzi,katawanya kwenye makundi ya whatsApp ya viongozi ili wamsifie

Halafu anafikiri ukatibu tarafa ni kazi kuuuuubwa sana...Aliipata kwa mgongo wa ndugu yake Dr Tizeba

Wewe ulitaka ajikombe kwa Chadema chama cha watetezi wa wauza unga na wanywa viroba? Anatekeleza kazi zake
 
Kajolijo

JF-Expert Member
May 30, 2016
3,377
2,000
944f2a42db6c2f26028a05327cca1c31.jpg
 
Tetty

JF-Expert Member
Jan 6, 2012
26,385
2,000
Wanachama zaidi ya 860 wa chadema wahamia ccm kuunga mkono jitihada za rais Magufuli za kuwatumikia watanzania wanyonge.

Wamesema kuwa chadema ni wababaishaji wanaohubiri wasiyoyaishi, wamechoshwa na unafiki wa chadema wa kujifanya wanatetea wananchi huku ni manyang'au wakubwa.

Kundi kubwa la waliohama chadema kwenda ccm walikuwa wafanyabiashara wa masoko yote, wamachinga, shoes shiners na wachoma mahindi .Wanachama hao wamesma kuwa viongozi wa chadema wa kisiasa wamekuwa wakiwafanya kitega uchumi kwa kuwaahidi kuwa wawape fedha ili wawafanikishie mambo yao lakini hawafanyi chochote.

Wanachama hao wamesema kuwa kazi rasmi ya kuimaliza chademaa imeanza kwa kuwa wao ndio walioiweka na wao ndio wa kuitoa chadema madarakani.

Wamempongeza Mkuu wa Mkoa (Mrisho Gambo) ,

Mkuu wa Wilaya Arusha (Gabriel Fabian Daqarro)

Mkurugenzi wa jiji(Juma Athuman Kihamia)

Das wa arusha (David Mwakiposa)

Afisa tarafa themi (Felician Mtahengerwa)

Kwa kazi kubwa wanayoifanya ya kuwatumikia wananchi wa jiji la Arusha kwa kuwaletea maendeleo ya haraka na yanayoonekana, huku wakilalamikia viongozi wa chadema kuwa kikwazo cha maendeleo ya wananchi wa jiji la Arusha

By Felician Mtahengerwa

Sent using Jamii Forums mobile app

Hahahhahaha poleni wanaccm kwa kujidanganya.
 
babalao 2

JF-Expert Member
Apr 6, 2012
5,319
2,000
Mimi nipo huku Tabora ambapo hatuawahi iangusha ccm ila hakuna maendeleo kama Arusha sasa sijui ni chama kipi kinatubabaisha zaidi ya ccm huku
 
mtahengerwa

JF-Expert Member
Jun 28, 2011
384
250
Hahahhahaha poleni wanaccm kwa kujidanganya.
Nilipokuwa mdogo nahudhuria mafundisho ya ubatizo na kipa imara nilielezwa kwa mara ya kwanza kuwa mpinzani ni shetani /ibilisi/rusifa na alifukuzwa mbinguni kwa ajili ya uchu wa madaraka alitaka kujaribu kumpindua Mungu akasahau kuwa Mungu ndiye aliyemuumba,

Huyo shetani ana sifa za uongo,udhandiki, ufitini na umbea,

Kama baba yenu shetani muasisi wa upinzani duniani ana sifa hizo nyinyi wapinzani si makosa yenu mmerithi kutoka kwa baba yenu ibilisi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tetty

JF-Expert Member
Jan 6, 2012
26,385
2,000
Nilipokuwa mdogo nahudhuria mafundisho ya ubatizo na kipa imara nilielezwa kwa mara ya kwanza kuwa mpinzani ni shetani /ibilisi/rusifa na alifukuzwa mbinguni kwa ajili ya uchu wa madaraka alitaka kujaribu kumpindua Mungu akasahau kuwa Mungu ndiye aliyemuumba,

Huyo shetani ana sifa za uongo,udhandiki, ufitini na umbea,

Kama baba yenu shetani muasisi wa upinzani duniani ana sifa hizo nyinyi wapinzani si makosa yenu mmerithi kutoka kwa baba yenu ibilisi.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sijawahi kufundishwa kwenye mafundisha ya DINI KATOLIKI kwamba binadamu ni SHETANI,mafundisho hayo labda ukatoliki wako ni CCM.

Pole sana na mfano wako mfu ili ujaze tumbo lako.ANyway kachukue buku saba zako maana ulivyojibu hata mtoto wako anakushangaa.

Sina sababu ya kukutukana wala kukudhalilisha one sentence,maneno yako yanatafsiri ubongo wako.Rudi tena kwa katekista akakufundishe vyema
 
SOKON 1

JF-Expert Member
Dec 28, 2010
1,135
1,500
Wanachama zaidi ya 860 wa chadema wahamia ccm kuunga mkono jitihada za rais Magufuli za kuwatumikia watanzania wanyonge.

Wamesema kuwa chadema ni wababaishaji wanaohubiri wasiyoyaishi, wamechoshwa na unafiki wa chadema wa kujifanya wanatetea wananchi huku ni manyang'au wakubwa.

Kundi kubwa la waliohama chadema kwenda ccm walikuwa wafanyabiashara wa masoko yote, wamachinga, shoes shiners na wachoma mahindi .Wanachama hao wamesma kuwa viongozi wa chadema wa kisiasa wamekuwa wakiwafanya kitega uchumi kwa kuwaahidi kuwa wawape fedha ili wawafanikishie mambo yao lakini hawafanyi chochote.

Wanachama hao wamesema kuwa kazi rasmi ya kuimaliza chademaa imeanza kwa kuwa wao ndio walioiweka na wao ndio wa kuitoa chadema madarakani.

Wamempongeza Mkuu wa Mkoa (Mrisho Gambo) ,

Mkuu wa Wilaya Arusha (Gabriel Fabian Daqarro)

Mkurugenzi wa jiji(Juma Athuman Kihamia)

Das wa arusha (David Mwakiposa)

Afisa tarafa themi (Felician Mtahengerwa)

Kwa kazi kubwa wanayoifanya ya kuwatumikia wananchi wa jiji la Arusha kwa kuwaletea maendeleo ya haraka na yanayoonekana, huku wakilalamikia viongozi wa chadema kuwa kikwazo cha maendeleo ya wananchi wa jiji la Arusha

By Felician Mtahengerwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Huu mkutano ulifanyika wapi na sehemu gani wakati tumeambiwa darasa la saba wapo katika maandalizi ya mitihani na pia kupisha mwenge ila aliyehutubia ni Nani wakati ccm ARUSHA haina mbunge na diwani ni mmoja tena kata ya mjini kati ama siasa zimesharuhusiwa ????
 
Say no to actors

JF-Expert Member
Aug 9, 2016
638
1,000
Wanachama zaidi ya 860 wa chadema wahamia ccm kuunga mkono jitihada za rais Magufuli za kuwatumikia watanzania wanyonge.

Wamesema kuwa chadema ni wababaishaji wanaohubiri wasiyoyaishi, wamechoshwa na unafiki wa chadema wa kujifanya wanatetea wananchi huku ni manyang'au wakubwa.

Kundi kubwa la waliohama chadema kwenda ccm walikuwa wafanyabiashara wa masoko yote, wamachinga, shoes shiners na wachoma mahindi .Wanachama hao wamesma kuwa viongozi wa chadema wa kisiasa wamekuwa wakiwafanya kitega uchumi kwa kuwaahidi kuwa wawape fedha ili wawafanikishie mambo yao lakini hawafanyi chochote.

Wanachama hao wamesema kuwa kazi rasmi ya kuimaliza chademaa imeanza kwa kuwa wao ndio walioiweka na wao ndio wa kuitoa chadema madarakani.

Wamempongeza Mkuu wa Mkoa (Mrisho Gambo) ,

Mkuu wa Wilaya Arusha (Gabriel Fabian Daqarro)

Mkurugenzi wa jiji(Juma Athuman Kihamia)

Das wa arusha (David Mwakiposa)

Afisa tarafa themi (Felician Mtahengerwa)

Kwa kazi kubwa wanayoifanya ya kuwatumikia wananchi wa jiji la Arusha kwa kuwaletea maendeleo ya haraka na yanayoonekana, huku wakilalamikia viongozi wa chadema kuwa kikwazo cha maendeleo ya wananchi wa jiji la Arusha

By Felician Mtahengerwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe kwanza nina mashaka na akili zako. Hivi jiji la Arusha linaongozwa na Gambo? Je hao watu uliowataja wanahusikaje na kupanga mipango na kuidhinisha shughuli za maendeleo za jiji? Je hao wanachama wa CHADEMA wamepokelewa ktk mkutano gani na kiongozi gani na ushahidi utuwekee hapa.
 
kimpawwe

Senior Member
Aug 22, 2017
164
250
Wanachama zaidi ya 860 wa chadema wahamia ccm kuunga mkono jitihada za rais Magufuli za kuwatumikia watanzania wanyonge.

Wamesema kuwa chadema ni wababaishaji wanaohubiri wasiyoyaishi, wamechoshwa na unafiki wa chadema wa kujifanya wanatetea wananchi huku ni manyang'au wakubwa.

Kundi kubwa la waliohama chadema kwenda ccm walikuwa wafanyabiashara wa masoko yote, wamachinga, shoes shiners na wachoma mahindi .Wanachama hao wamesma kuwa viongozi wa chadema wa kisiasa wamekuwa wakiwafanya kitega uchumi kwa kuwaahidi kuwa wawape fedha ili wawafanikishie mambo yao lakini hawafanyi chochote.

Wanachama hao wamesema kuwa kazi rasmi ya kuimaliza chademaa imeanza kwa kuwa wao ndio walioiweka na wao ndio wa kuitoa chadema madarakani.

Wamempongeza Mkuu wa Mkoa (Mrisho Gambo) ,

Mkuu wa Wilaya Arusha (Gabriel Fabian Daqarro)

Mkurugenzi wa jiji(Juma Athuman Kihamia)

Das wa arusha (David Mwakiposa)

Afisa tarafa themi (Felician Mtahengerwa)

Kwa kazi kubwa wanayoifanya ya kuwatumikia wananchi wa jiji la Arusha kwa kuwaletea maendeleo ya haraka na yanayoonekana, huku wakilalamikia viongozi wa chadema kuwa kikwazo cha maendeleo ya wananchi wa jiji la Arusha

By Felician Mtahengerwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Wamenunuliwa
 
mwasu

JF-Expert Member
Jul 13, 2011
10,192
2,000
Wewe mleta mada ndio umepongezwa kwa kazi nzuri? Ipi! yaani mlishinda pale stand ya hiace mnapiga nyimbo za ccm ni ileile ohhh ni ile ile watu tumeenda A.. Town kula Idd tunakuta fujo tu eti kesho tunawapokea, jamani acheni usanii nyie watu wa Arusha hawapokeleiwi kwa nyimbo yaani mnawapokea kina Makoi na wamiliki wa vibanda ambao ni ccm damu mnasema walikuwa chadema? Makoi sio diwani wenu? Haahaaaaa! Mkuu wa mkoa ameanzisha bifu jipya na afisa uasalama FAKE nae ni masai yule mkuu wa mkoa alitegemea yule jamaa atafungwa ndio maana akawa anarudisha kesi kila siku mahakamani sasa jamaa kashinda kesi na masai wameapa kuliko jimbo lirudi ccm bora likose mbunge maana kijana wao kusumbuliwa halijawapendeza kabisa Gambo asubiri mavuno aliyovuna Kinondoni.
 
HUNIJUI SIKUJUI

JF-Expert Member
Apr 4, 2015
1,213
2,000
Kwahiyo Wanaoshabikia CDM ni matajiri ambao hawana shida ya Maisha. CCM ni chama cha wanyonge

Sent using Jamii Forums mobile app
hapana sina maana hio ni kweli ccm ni chama cha wanyonge ambao kila siku wananyongeka kweli hakuna nafuu yoyote, ila kiuhalisia msingi wa support ya chama cha mapinduzi ni hao watu lakini maisha yao hua hayabadiliki japokua serikali ya ccm ipo madarakani miaka mingi tu...ushahidi ninao kuna maeneo tangu nchi hii inapata uhuru mpaka leo wao ni ccm tu na hayo maeneo ni masikini wa kutupwa na kuna maeneo nina ushahidi pia ambayo vyama vingi tu vilipoanzishwa waliachana na ccm na hayo maeneo kiujumla yana maendeleo na wamepiga hatua kubwa ukilinganisha na maeneo ambayo ccm dam dam
 
Supu Choma

Member
Jul 31, 2017
45
125
Nilipokuwa mdogo nahudhuria mafundisho ya ubatizo na kipa imara nilielezwa kwa mara ya kwanza kuwa mpinzani ni shetani /ibilisi/rusifa na alifukuzwa mbinguni kwa ajili ya uchu wa madaraka alitaka kujaribu kumpindua Mungu akasahau kuwa Mungu ndiye aliyemuumba,

Huyo shetani ana sifa za uongo,udhandiki, ufitini na umbea,

Kama baba yenu shetani muasisi wa upinzani duniani ana sifa hizo nyinyi wapinzani si makosa yenu mmerithi kutoka kwa baba yenu ibilisi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kanisa gani?
 
Nsubhi

Senior Member
Jan 27, 2015
157
225
Hivi kupigana na mtu aliyefungwa mikono na miguu ni sahihi? Nawauliza watalaam wa haki za binadamu.
 
mkighare

JF-Expert Member
Dec 24, 2016
398
500
Wanachama zaidi ya 860 wa chadema wahamia ccm kuunga mkono jitihada za rais Magufuli za kuwatumikia watanzania wanyonge.

Wamesema kuwa chadema ni wababaishaji wanaohubiri wasiyoyaishi, wamechoshwa na unafiki wa chadema wa kujifanya wanatetea wananchi huku ni manyang'au wakubwa.

Kundi kubwa la waliohama chadema kwenda ccm walikuwa wafanyabiashara wa masoko yote, wamachinga, shoes shiners na wachoma mahindi .Wanachama hao wamesma kuwa viongozi wa chadema wa kisiasa wamekuwa wakiwafanya kitega uchumi kwa kuwaahidi kuwa wawape fedha ili wawafanikishie mambo yao lakini hawafanyi chochote.

Wanachama hao wamesema kuwa kazi rasmi ya kuimaliza chademaa imeanza kwa kuwa wao ndio walioiweka na wao ndio wa kuitoa chadema madarakani.

Wamempongeza Mkuu wa Mkoa (Mrisho Gambo) ,

Mkuu wa Wilaya Arusha (Gabriel Fabian Daqarro)

Mkurugenzi wa jiji(Juma Athuman Kihamia)

Das wa arusha (David Mwakiposa)

Afisa tarafa themi (Felician Mtahengerwa)

Kwa kazi kubwa wanayoifanya ya kuwatumikia wananchi wa jiji la Arusha kwa kuwaletea maendeleo ya haraka na yanayoonekana, huku wakilalamikia viongozi wa chadema kuwa kikwazo cha maendeleo ya wananchi wa jiji la Arusha

By Felician Mtahengerwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Group hili lawatu wa level hii linahitaji kusaidiwa samahani kwani kwa akili fupi unaweza fikiri kuwa ni dharau lkn hii ni ishara ya wazi ya kutojitambua kwani ukimchukua mtu wa sampulihii ukamuuliza nini lengo lako liliokufanya ukawa chadema hana jibu sahihi na ukimuuliza ccm mategemeo yako ninini huwezi elewa jibu lake watu Arusha wanafurahia kupanga nyanya na mitumba barabarani lkn sasa ndio lengo la kujenga barabara?unampa mtu mashine za kusaidia kukusanya kodi anauza nguo analipa kodi yanyumba unamwita mmachinga akae mlangoni kwake auze bidhaa zile zile bila ushuru halafu unajisifu kuwa unawasaidia kodi isipolipwa unaanza kuwafata mpaka nyumbani niakili kweli hii hao wanaorudi ccm wapokeeni halafu wajulisheni kwamba baada ya muda serikali itakosa walipa kodi na ndio mwisho wakulipiwa huduma muhimu tuombe uzima
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom