Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 14,001
- 31,770
Sawa mkuuHapana
Sawa mkuuHapana
Hahaaa. Hivi utakua lini swahiba mana sio kwa maneno hayo. LolUsitubanie bwana Kwan shida iko wap c anapata kile unachompa baba mwenye nyumba
Hongera kwa hiloAkaaaaa. Nilivyo mtunza na kumlea mpaka alipofika nataka aje kuwa mama bora pindi akija kuwa na familia yake.
Hahaaaa. Kabisa yaani.Inahitaji uvumilivu sana ukahisi umeingia choo cha kiume sio?
Wala usiwe na wasi wasiYakweli hayo
Serious.........Akipata mimba lea mimba, mtoto akizaliwa niletee nitalea bila hata msaada wako. Endelea kucheza peku mkuu
Nitakuja pm baada ya miezi tisaWala usiwe na wasi wasi
Ha ha ha ha swahiba roho mbaya hyo ntapita kwako mchana, Ntaupitisha ule mzigo wako kama hautakuepo ntamuachia dadaHahaaa. Hivi utakua lini swahiba mana sio kwa maneno hayo. Lol
Wacha akikose tu kwa kweli.
SawaNitakuja pm baada ya miezi tisa
YeahSerious.........
Doooh. Huo mzigo baki nao tu swahiba nitaufuata mwenyewe huko huko.Ha ha ha ha swahiba roho mbaya hyo ntapita kwako mchana, Ntaupitisha ule mzigo wako kama hautakuepo ntamuachia dada

Mkuu habar yako kwanzahakuna hausi geli mgumba hata siku moja
Hiyo ofa iextend basi na kwangu.....Yeah
salama.. kwema huko?Mkuu habar yako kwanza
Mkuu kwema siku nyingi hatukutani humu umepotelea pande zipisalama.. kwema huko?
Ha ha ha ha haya swahiba naona unamlinda msaidiz wako bas kheriDoooh. Huo mzigo baki nao tu swahiba nitaufuata mwenyewe huko huko.![]()
Hahaaaaa. Haya bana.Ha ha ha ha haya swahiba naona unamlinda msaidiz wako bas kheri