Habari WanaJF!
Naomba kusaidiwa Tovuti zitakazo niwezesha kufanya manunuzi ya bidhaa Mtandaoni (Phones & Laptops) hasa katika hizo Nchi za Falme Za Kiarabu na Thailand.
Asante
Sent using Jamii Forums mobile app
Sometime Kuishi na mabrother hiv home alaf unademu mkali jau sana maana bro alikuwa akimsifia demu wang mara kwa mara "mdogo wangu una demu mkali kinomaaa yani kwa kazi hii jipige kifua sema wewe ni mshindi"
Baada ya muda kidogo si akamtafuna asee alaf nilipogundua akaniambia mdogo wangu...
Dhahabu Huwezi Jifunza Mtandaoni Njoo Huku Kahama Kakola Ujifunze, Wakati Naanza Niliwahi Kuuziwa Dhahabu Ambayo Katikati Ina Golori Y Baiskeli, Hii Kitu Sisahau Ila Nilijifunza Pia Nishapoteza Pesa Nyingi Sana Kwenye Kununua Mifuko Mihaloni Ila Sasa Hiv Nadeal na Karasha Zangu Nasubir Kwenda...
[emoji23][emoji23][emoji23]Hao Wamba Nakumbuka Mpaka Sub Zao Asee!
Waliosimama Kutoka Kushoto ni: Komred Kipepe (nahodha msaidiz), Kaisi, Kibinde, Hui Hui (mwenye kofia kama Crown), Kobelo na Striker Wao Machachali Mzee Meko(mwenye shati ya Madoa)
Waliochuchumaa Kutoka Kushoto ni: Kashe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.