huo ni uongo Mkubwa,kama uliwataka wadada waliosimama ktk imani wakakutolea nje ndo maana unasema hivyo
msichana alieokoka kweli hawezi kufanya uasherati na mwanamke liyeokoka lazima atampenda na kumtii mume wake kama neno linalovyosema,narudia Husipotoshe watu huenda. umekutana na kimeo
Sent...
fisi 2 uko sahihi kuhoji mi nawachukui hawa wanaofanya utapeli hali ilivyo ngumu yaani ndugu yangu huyo alivyotapeliwa inauma,alafu wanabadilisha namba za simu kila siku ni wako na Kupatana ,nawatahadharisha ndugu zangu
jaman kuweni makini kuna ndugu yangu kachukua contact za dalali humu humu ,dalali kamuunganisha na mwenye Nyumba feki,Nyumba ziko kimara korogwe ,amelipa kodi miezi sita siku ya kuhamia mwenye Nyumba na dalali hawapokei simu. wanamhusisha mwanamke eti ndo mamamwenye Nyumba ni mmama MTU mzima...
Mhe Gudboy naomba ushauri kuna mtu anatumia kitanzi cha miaka 12, anatatizo la kutokwa na majimaji mengine na ute mzito mara nyingine una rangi ya cream au kama kijani. Tumempeleka hospital wanasema ni kawaida haina madhara. Ni sawa
Habari wanadau naomba ushauri. Nina mtoto wa ndugu yangu ana miaka 3 ni wa kiume. Alikuwa anatembea na kukimbia vizuri ghafla ameacha kutembea akitembea hatua moja ana dondoka na hawezi kaa Muda mrefu. Yuko kama amelegea. Tumempeleka hospital vipimo hawaoni ugonjwa wala xray hazioneshi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.