Ni ugonjwa gani na nini dawa yake

nyikila

Member
Jan 23, 2017
22
16
Habari wanadau naomba ushauri. Nina mtoto wa ndugu yangu ana miaka 3 ni wa kiume. Alikuwa anatembea na kukimbia vizuri ghafla ameacha kutembea akitembea hatua moja ana dondoka na hawezi kaa Muda mrefu. Yuko kama amelegea. Tumempeleka hospital vipimo hawaoni ugonjwa wala xray hazioneshi alipoumia. Naomba ushauri tafadhali
 
Back
Top Bottom