Recent content by nyeti za kuku

  1. N

    JamiiForums Tanzania Asante Mwanza, UKAWA sasa BAI BAI

    Subiri hapo uone watu wanavyotafuta malori ya kurudi bariadi,geita,na wilaya zote za mwanza wengi watalala hapohapo uwanjani msiicheze na ukawa mtalala uchi nyie fisiemu
  2. N

    JamiiForums Tanzania Asante Mwanza, UKAWA sasa BAI BAI

    Tuimbe wote fiesta fiestaaa kwa sauti jamani rudia kiitikio fiestaaa fiestaaaa
  3. N

    JamiiForums Tanzania Boda boda wasaliti UKAWA

    Mavyenu boda wapi unaozungumzia wewe na ni chama kipi kinatia elf 5 kwa boda2 kama sio ccm
  4. N

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Majeshi, Davis Mwamunyange kuwasili nchini 16th Oct, baada ya ziara nje ya nchi

    Asante madaktari kwa kazi nzuri
  5. N

    JamiiForums Tanzania Mgombea Urais wa CHADEMA, Edward Lowassa kutoshiriki mdahalo wa Oktoba 18, 2015

    Umbwa nyie kikwete kashiriki midahalo katufanyia nini?uraisi kusimamia ilani ya chama si pushups na midahalo
  6. N

    JamiiForums Tanzania UKAWA nendeni Mahakamani kesho 15/10/2015

    Kila wanachoongela ccm jamani mkipime mara2 sio akili zao jamani wamepagawa
  7. N

    JamiiForums Tanzania Mbowe aiuza CHADEMA kwa Lowassa

    Mbowe katuuzia wananchi chadema nyie shida yenu nini acheni kujinyea na nyie uzeni ccm kwani mnakatazwa?mtaisoma no 25 oct
  8. N

    JamiiForums Tanzania Watu wa Mbeya mtabadilika lini?

    Sasa wakati wanamzomea kwa nini hakupiga push ups japo awatishe kidogo?mtajuta oct
  9. N

    JamiiForums Tanzania Magufuli awataja wanaCCM wanaomsaliti huku wakimsanifu kuwa wanamuunga mkono

    Ccm acheni kelele subirini baraza la mawaziri livunjwe ndio mtaisoma no endeleeni kupiga push ups
  10. N

    JamiiForums Tanzania TANZIA Waziri Celina Ompeshi Kombani afariki dunia

    Mungu ailaze roho ya mama yetu mahala pema peponi amen,angalizo mimi ni ukawa ila kwa hili naomba watanzania tuwe pamoja katika kipindi hiki kigumu cha msiba hapa ndio huwa naamini watanzania ni ndugu moja kabisa,poleni familia poleni chama cha mapinduzi
  11. N

    JamiiForums Tanzania Hawa ndio Wafadhili wakuu wa CHADEMA ambao Mbowe hataki kuwataja hadharani

    Mbona na wewe hujitaji na tunajua kura yako oct 25 ni kwa lowasa usiogope bana
  12. N

    JamiiForums Tanzania UKAWA waingia hasara kubwa Harambee Mlimani City!

    Sasa kati ya ccm na ukawa nani anapata hasara?akili za viroba bana yani lipumba alilamba bil 2 dr slaa na mchumba wake walilamba euro mil 1.5 sawa karibu na bil 4 twaweza bil1,aunt ezekiel na ray mil100,diamond mil500 bado polepole na kina wema na wasanii kibao wamechukua sasa jiulize nani...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Magufuli, kupiga push ups ni busara? IQ vipi? Ipo?

    Iq ndogo misili ya nini ikulu basi kohn cena ndio raisi bora duniani
  14. N

    JamiiForums Tanzania CHADEMA thibitisheni mgombea URAIS kushiriki MDAHALO

    Mdahalo sio lazima hata muheshimiwa raisi akija kwa mdahalo atachozunguza ni ilani ya chama hivyo hata mimi kama naijua ilani naweza kuja kwa mdahalo kwani tatizo ni nini?mbona mafisiemu kwa mara ya kwanza manalilia mdahalo?au mnataka mgombea wenu aje kusema raisi wa libya alikua sadamu huseni...
  15. N

    JamiiForums Tanzania Ni aibu watu wazima kusema Uongo, Mtama ya Nape na CCM

    Vyovyote vile lazima mkae mamayee hapa mabadiliko tu push ups peleka MGM GRAND
Back
Top Bottom