Recent content by nyerere

  1. nyerere

    JamiiForums Tanzania Mabinti badilikeni, kwanini akutumie kama mke wakati hakuhudumii chochote?

    Inaudhi sana hata hivyo mimi ni ME sio KE mr!!
  2. nyerere

    JamiiForums Tanzania Mabinti badilikeni, kwanini akutumie kama mke wakati hakuhudumii chochote?

    Ama kwel wee ni askari muoga!
  3. nyerere

    JamiiForums Tanzania Mabinti badilikeni, kwanini akutumie kama mke wakati hakuhudumii chochote?

    Ni jambo la kawaida kukuta binti mdogo tu mbichi kabisa yuko sehemu anafua, anapiga deki anaosha vyombo na kufanya kazi zote za nyumbani kwa kijana mmoja. baadaye anatumika kimapenzi na kisha anasindikizwa kwa mguu mpaka kwake au kwao. Ukimuuliza huyo binti atakuambia huyu ndiyo mpenzi wangu...
  4. nyerere

    JamiiForums Tanzania More than serious nahitaji mume wandugu

    daah pipoz wengine bwn ujue ujuaji mwingi mbele giza,hujaelewa nini sasa hapo Mkuu!!? # none sense#
  5. nyerere

    JamiiForums Tanzania Shule ya sifa: Shule ya Sekondari Milambo, Tabora

    Haswaaa tulikua tunafarijiana sanaaa!!!!
  6. nyerere

    JamiiForums Tanzania Shule ya sifa: Shule ya Sekondari Milambo, Tabora

    [emoji1] [emoji1] [emoji1] zaina zaina scout walikua wanakaza kaa FFU!!
  7. nyerere

    JamiiForums Tanzania Shule ya sifa: Shule ya Sekondari Milambo, Tabora

    Its true broo,Basi na ile slogan yetu ya walambo ni wamoja basi ni fully cooperation!. Hahaah ulamboni ilikua raha sanaaa!!!!
  8. nyerere

    JamiiForums Tanzania Shule ya sifa: Shule ya Sekondari Milambo, Tabora

    Daaah nilikuwepo hapo nikipiga PCB,yan uongoz wa shule hauna habar ni mwendo wa utawala binafsi tuu alaf watu wanapasua pepa kama kawaidaa!!!!!!.[emoji2] [emoji2] [emoji1]
  9. nyerere

    JamiiForums Tanzania Huu ni ujumbe kwa Wasanii wote wa mziki, Diamond hafai kuweni naye makini

    Hebu tukumbuke na haka kamsemo "Penye riziki huwa hapakosi fitina".
  10. nyerere

    JamiiForums Tanzania Serikali yasema haina uwezo wa kuajiri Madaktari wote wanaohitimu

    Its true hali ni mbaya kuliko kawaida!
  11. nyerere

    JamiiForums Tanzania Serikali yasema haina uwezo wa kuajiri Madaktari wote wanaohitimu

    Waziri wa afya, maendeleo ya jamii, jinsia wazee na watoto Mhe Ummy Mwalimu imekiambia chama cha madaktari nchini-MAT-kuwa serikali haina tatizo la uhaba wa madaktari hapa nchni kutokana na vyuo vya udaktari vilivyopo kuzalisha zaidi ya madaktari elfu moja kila mwaka. Akizungumza katika...
  12. nyerere

    JamiiForums Tanzania Kwanini Serikali isifute masomo haya? Kisw, Hist, Civ na Eng

    we jamaa bwana!!![emoji1] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
  13. nyerere

    JamiiForums Tanzania Haya ya HESLB, TCU na ukosefu wa ajira yanaumiza!!!

    Nashukuru kwa kuliona hilo kk
  14. nyerere

    JamiiForums Tanzania Nini chanzo??? Na nini kifanyike???

    Kampani+lack of self control &determination+ushamba+boom+freedom.......etc Yako mengi lakini cha msingi ni kujitambua tuu,pia msisahau kufanya ibada kulingana na imani zenu,ni muhimu sana!.
Back
Top Bottom