Shule ya sifa: Shule ya Sekondari Milambo, Tabora

Shule ya sifa: Shule ya Sekondari Milambo, Tabora

mkuu hili jina la FUPA nadhani lilitokana na gari yake ile Toyota Stout, pick up kama Niko sahihi. Hebu kumbusha kidogo
Na mke wake alikuwa Mama Msemakweli (Principal) wa pale UHAZILI/CHUO CHA UTUMISHI WA UMMA.
 
Usifananishe tabora boys na mirambo ni vitu viwili tofauti, kwanza katika malengo ya watu wanachokifuata

1.Tabora boys wanaenda shule kusoma ili wapate vyeti, millambo wanaenda shule kujifunza ili wapate elimu

Ukiujua huo utofauti hutoifananisha milambo na shule yeyote tanzania au na A. Mashariki

Ni mwanafunzi wa Milambo pekeee anaanza kidato mpaka anamaliza hamjui mwalimu wa somo wala darasa zaidi ya mwalimu wa usafi na chakula
Lakini abaingia kwenye ushindani wa mitihani ya kitafa

Ni mwanafunzi wa milambo pekeee anaenza shule mpaka anamaliza shule anafanya mtihani wa mock anakujakumaliza na NECTA basi lakini matunda utayaona.

Ni mwanafunzi wa milambo pekee anaehudhuria shughuri za kijamii mf. Misiba na sherehe na kujamiiana na jamii inayomzunguka kwa kujifunza maisha halisi watu wanayoishi na yeye atakayoishi pindi amaluzapo masomo yake

Ni mwanafunzi wa milambo pekeee anaejua yupi ni adui yupi ni ndugu na kipi nifanye na kipi nisifanye, pia ni huyuhuyu pekeee ambaye siku zote wakiwa shule huishi kwa kuchukuliana na kuteteana kama familia, hata muwe na tofauti zenu mkiwa pale ikitokea ukafanyiwa ndivo sivyo mnaweka tofauti zenu chini mnaungana na kutoa maamuzi kwa pamoja.

MILAMBO SIO SHULE YA KAWAIDA KATIKA UKANDA HUU WA A. MASHARIKI NA KATI
Acha kabisa Walambo ni kama jeshi nakumbuka siku moja iligongwa kengele SAA 3 shule nzima taa zikazimwa mkutano nyuma ya dining Hall aisee jamaa walianza kuongea nilitamani kesho yake nirudi home cz ilikuwa ndo four five hiyo kuna jamaa alikuwa anatokea Kigoma al maaruf KAMANDA jamaa alikuwa na mwili Mkubwa na mjenga point Sana kesho yake parade ,Zoma ,Mkongoman na Second master yule Mzee wa kihaya mlemavu walikimbia nilicheka sana
 
Nakumbuka nlikua pale 2012-2014 nlilala rugambwa no.5,sitosahau siku tuliyowapiga skauti kwa uonevu wao ilikua balaa
 
kuna siku alfajiri tukawa tunakimbia mchakamchaka, sasa kufika pale 4 ways karibia na mihayo sekondari, tukakutana na tabora boys nao wanakimbia mchakamchaka, dadadeki, ulitembea mkono hapo, sie tusio na nguvu vinyoya tukalala mbele kurudi shule, wababe wakanyukana, na kuna siku tena tulikutana na tabora boys nadhani lilikuwa ni kombe la mgulunde pale kazima, mechi kwisha tu ngumi zikaanza mpunga wa kazima sec wote ulilazwa chini, na kuna siku wakakosea behewa la treni tukawekwa pa1 na tabora boys, kuingia tunakuta tabora boys wametuna wanapiga story, mkono ulitembea hapo mpaka tabora boys ikabidi warudi kwa station master wakapewa behewa lingine

Hii siku nilikuwepo ila milambo mlichezea nakozi si za kitoto na ile mechi ambayo mlipigana nadhan mlichezea uwanja wa vita barabara ya kazima ilikua full mawe kuna kundi liliwakimbiza boys hadi kule bomani na kundi lingine liliwakimbiza milambo mpaka. Diamond talks ilikua mguu wa shingo mguu wa roho..nimekaa tbr since 1982 i know hzo mambo
 
Aya pouwa! Ndugu zangu wana Kimbembe.... Wakati huo wananiita COMMANDO..... Sasa hivi kwisha na majukumu teleeee!
 
Hii siku nilikuwepo ila milambo mlichezea nakozi si za kitoto na ile mechi ambayo mlipigana nadhan mlichezea uwanja wa vita barabara ya kazima ilikua full mawe kuna kundi liliwakimbiza boys hadi kule bomani na kundi lingine liliwakimbiza milambo mpaka. Diamond talks ilikua mguu wa shingo mguu wa roho..nimekaa tbr since 1982 i know hzo mambo
Najua unaujua ukweli ila unataka kuchangamsha jamvi.... Hakuna siku ambayo T. Boys wameweza kupigana na Milambo Men....
 
Sichangamshi jamvi nimekaa tbr hzo fujo nimezishuhudia na mdgo wangu kapiga shule hapo 93-95
Kwanza nikuelimishe hizo hazikuwa fujo kama unavyotaka iwe! Kilichokuwa kikifanyika ni kuenzi jitihada za wahenga wa Shule hizi mbili mfano; T. Boys alikuwepo Prof. Kapuya na Milambo Men alikuwepo Mh. Lowasa.. Na Demu wao alikuwa anasoma T. Girls (R.I.P) siwezi kumtaja jina kwa sababu ya maadili. Prof. Kapuya alikula kichapo cha mbwa mwizi kutoka kwa Mh. Lowasa.. Ndo maana hadi leo hawapatani.

Ninavyokuambia ni sawa na kuna mdau alitangulia hapa... Walambo wanajua namna ya kuishi na watu... Hadi leo popote Mlambo alipo ujue hakuna Mlambo atanyanyasika.. Kinyume na Dent wa T. Boys... Ninakwambia mimi ni Mlambo na popote tunapokutana hata kama ulisoma mwaka 1970s ukikutana na Mlambo wa 2016s wote ni ndugu.... In short tazama hata jina langu natumia verified user hivyo ninajua ninachokisema.
 
Hii siku nilikuwepo ila milambo mlichezea nakozi si za kitoto na ile mechi ambayo mlipigana nadhan mlichezea uwanja wa vita barabara ya kazima ilikua full mawe kuna kundi liliwakimbiza boys hadi kule bomani na kundi lingine liliwakimbiza milambo mpaka. Diamond talks ilikua mguu wa shingo mguu wa roho..nimekaa tbr since 1982 i know hzo mambo
tulifukuza tabora boys mpaka bomani, tulirudishwa baada ya kuona pajero ya mkuu wa mkoa ikitokea bomani kuja upande wetu, tukaona ishakuwa msala, acha turudi, enzi hizo mkuu wa mkoa alikuwa hayati lawrence gama
 
Kwanza nikuelimishe hizo hazikuwa fujo kama unavyotaka iwe! Kilichokuwa kikifanyika ni kuenzi jitihada za wahenga wa Shule hizi mbili mfano; T. Boys alikuwepo Prof. Kapuya na Milambo Men alikuwepo Mh. Lowasa.. Na Demu wao alikuwa anasoma T. Girls (R.I.P) siwezi kumtaja jina kwa sababu ya maadili. Prof. Kapuya alikula kichapo cha mbwa mwizi kutoka kwa Mh. Lowasa.. Ndo maana hadi leo hawapatani.

Ninavyokuambia ni sawa na kuna mdau alitangulia hapa... Walambo wanajua namna ya kuishi na watu... Hadi leo popote Mlambo alipo ujue hakuna Mlambo atanyanyasika.. Kinyume na Dent wa T. Boys... Ninakwambia mimi ni Mlambo na popote tunapokutana hata kama ulisoma mwaka 1970s ukikutana na Mlambo wa 2016s wote ni ndugu.... In short tazama hata jina langu natumia verified user hivyo ninajua ninachokisema.

kifupi mkikutana mliosoma boys school lazma muwe pamoja no matter what school mmesoma hyo ipo hata kwenye makabila Nk halafu hakuna ku enzi kitu kwa vurugu bway..japo najua moja ya hzo fujo ni bifu za totoz wa T girls ambapo nako kuna historia yake
 
Walambo a.k.a wanaume tulikuwa tunaenda kucheza nao mziki kipindi hicho nachoma kazima secondary
 
Dah we jamaa umenikumbusha mbali,
Nilianza Milambo Form five mwaka 2007,
Siku yakwanza mwalimu Majubwa akapigwa risasi tukaamshwa usiku.

Wiki chache Kunajamaa tulikuwa tunalala nao Sokoine wakagombana mmoja akamkata mwenzake koromeo, dah! Hapo nilitaka kesho nihame,
Lakini baada ya mwezi nikasema hapa sibanduki.
Kuna mambo siwezi sahau
1. Tulipoibiwa meza tukauteka mji mzima wa Tabora kwa msako wa nyumba kwa nyumba, tukazipata tukataka kumuua mwizi polisi wakaingilia, kilichotokea ni vita kubwa sana.

2. Mgomo wetu wa 2008 uliomleta mama Sitta na kufanikisha kumg'oa Majubwa.

3. Kipindi tunakosa chakula tukawa tunalazimika kula mabanzi(viazi) kutoka mifukoni mwetu.

4. Tuliendesha mapinduzi yakumg'oa Malima keenye u HP, mimi nikiwa na Richard Castory(PCM), Kamanda, na wengine.

5. Nilikuwa nikisoma HGE sikuwa kumjua mwalimu wa History wala Geography wala economics two, ila mwalimu wa economics one Sotta Mbele, rakini bado nilipata One.

6. Nawakumbuka Mkupeti, FM, Peter Enosi, Malima, Matonya, Malulu, Victor Ndamgoba, nawengine wengi.
 
Back
Top Bottom