Recent content by nyawari hill

  1. N

    JamiiForums Tanzania Namchukia Magufuli from bottom of my heart

    Tatizo ni kwamba ataondoka akiwa ameshawaharibia kwani umri haumsubiri yet aondoke
  2. N

    JamiiForums Tanzania Kwa tuhuma hizi, CHADEMA kifumuliwe na kiundwe upya

    We umekosea jina la chama . chama chenye sifa na tabia hizo mbona ni kile cha kijani
  3. N

    JamiiForums Tanzania Bashe(Mb): Ipo siku watu watatafuta haki yao mtaani!

    Walishafundishwa unafiki ukiwa upande wao lazima useme ndiyo hata ukininginizwa kichwa kwenye tundu la choo Nape kasema atasimamia anachokiamini at least amejitahidi kuacha unafiki wao
  4. N

    JamiiForums Tanzania Vikao vya bunge hatarini kufungwa kwa kukosekana pesa

    Namba itasomwa na kila mtu siyo wapinzani tu
  5. N

    JamiiForums Tanzania Mapokezi ya Nape hayatofautiani na yale aliyopewa Marehemu Deo Filikunjombe

    Watavurugana na kutoa siri zao wenyewe kwa tusiyoyajua
  6. N

    JamiiForums Tanzania PENDEKEZO: Serikali ipunguze Watumishi wa umma kubana matumizi

    Serikali awamu zote mambo yalienda swafii serikali ya sasa haijawahi kuajiri mnawaza kuwapunguza Hayo ni mawazo dumavu pelekeni compyuta shuleni zikasimame ubaoni
  7. N

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli kutowaongezea mshahara walimu, CWT waja juu

    Asidhani anawakomoa Bali anaandaa vilaza wa baadaye walimu hawataandamana ila kitakachofanyika huko shuleni in mungu anajua
  8. N

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli aache kupoteza muda kwa kuleta nchini viongozi wasio na tija!

    IPI bora kuwaleta nchini na kasafiri kuwafuata kwao embu nisaidieni
  9. N

    JamiiForums Tanzania Kuna Dalili ya Serikali Kufilisika

    Mkurugenzi wa tanesco kisa cha kutangaza bei mpya ya umeme ilikuwa in kunusuru hali hiyo japo aliwafahamisha wakamgeuka na kumtumbua Leo wanahaha namna ya kuinusuru tanesco na madeni inayoikabili
  10. N

    JamiiForums Tanzania Mgombea ubunge Afrika Mashariki, kweli kuna watu wameumbwa, nimeamua kumpigia kampeni Fancy Ikuhi

    Kama c.v in sura atashinda hata mi namkubali
  11. N

    JamiiForums Tanzania Asikuambie mtu! Wahaya ni wazuri...

    Hiyo zamani hivi sasa makabila yote tu yanafanya hivyo
  12. N

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli awaambia Waandishi wa Habari wawe makini, hawako huru kihivyo...

    Sasa ataeleza wanaompinga bashite wametumwa na waliotajwa kwenye madawa ya kulevya
  13. N

    JamiiForums Tanzania Ukatili wa Kanisa Katoliki, Papa aomba msamaha

    Kama sikosei wewe ni msabato kwani in wapotoshaji wakubwa
  14. N

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Mkutano wa Waziri Nape Nnauye na Waandishi wa Habari: Kamati haijamaliza kazi

    Nauye piga kazi we no waziri mwenye dhamana
Back
Top Bottom