Mgombea ubunge Afrika Mashariki, kweli kuna watu wameumbwa, nimeamua kumpigia kampeni Fancy Ikuhi

Tuacheni na hizi fikra za sexism; kwani umeambia anaenda kuwakilisha maumbile? au wanawake nao wampige kampeni wmanamme anayewavutia? na bado tunataka kuendelea? Kama lengo ni kuchagua wazuri basi wangeombwa watu wa Miss Bangusilo wawakilishe
Dr. Slaa hivi yupo?
 
Ndo wanaojua Kiingereza. Sasa watoto wa maskini wasome shule za kata afu wakatuwakilishe kwenye bunge linalotumia lugha ya Malkia mwanzo mwisho? Au unataka wasichangie chochote hadi wamalize term yao?
Sijawahi kumuskia Makongoro akiongee kidhungu. Hata neno 1.
Hata huyo wa Maghembe ni walewale. Hawa watoto wa wakubwa ni vilaza sn tumesomanao.

Kwa taarifa yako wapo vijana wa kimaskini na wana vigezo vyote.
 
Tuacheni na hizi fikra za sexism; kwani umeambia anaenda kuwakilisha maumbile? au wanawake nao wampige kampeni wmanamme anayewavutia? na bado tunataka kuendelea? Kama lengo ni kuchagua wazuri basi wangeombwa watu wa Miss Bangusilo wawakilishe
Hahahahaaaaaaaaaa Miss Bangusilo
 
Sijawahi kumuskia Makongoro akiongee kidhungu. Hata neno 1.
Hata huyo wa Maghembe ni walewale. Hawa watoto wa wakubwa ni vilaza sn tumesomanao.

Kwa taarifa yako wapo vijana wa kimaskini na wana vigezo vyote.
Binafsi nimeshangaa hiyo hali nikajiuliza labda wanawamarginalize watoto wa maskini baada ya kutupwa huko kwenye kata na kukosa political exposure.
 
19c60458db8176473e83a233d0c2bf6d.jpg
43b1ae3a5df55b040a93a775e6d7e42e.jpg

Naahidi kukupigia kampeni kwa gharama zangu.
3bb7ee636552e954da7ca2e2cc125888.jpg

Mjini tako...sura hukohuko kolomije.
Tako lenyewe la Bata hilo, amtake nani?
 
Huyu demu aliwahi kuchaguliwa na JK kuwa DC akiwa mdogo tu ametoka chuo.....akaenda kuwa DC!! Sijui alipotelea wapi!! Ameibukia sasa!! Utashangaa amepenyaje hadi hapo? Shangaaaa
 
Mtoa mada acha kupotosha. Unaleta picha za watoto wazuri kuhadaa wanajukwaa. Picha ya wa kwanza na mwisho siwajui ila huyo wa pili (katikati) namjua. Ni mhaya wakati Nkuhi watu wa Singida. Huyo anaitwa Joan na ali...) ngoja niishie hapa nisimwage ushilawadu
 
Sijawahi kumuskia Makongoro akiongee kidhungu. Hata neno 1.
Hata huyo wa Maghembe ni walewale. Hawa watoto wa wakubwa ni vilaza sn tumesomanao.

Kwa taarifa yako wapo vijana wa kimaskini na wana vigezo vyote.
Makongoro anagombea kwa awamu ya pili, awamu ya kwanza alichaguliwa na alijieleza kwa kiingereza(ukitafuta clip yake mtandaoni utaipata). Ana kiingereza kizuri, ana flow nzuri ya hoja na tone na anaongea kwa kujiamini. Kwa kifupi, kiingereza chake ni above TZ average. Kina Le Mutuz walioishi USA miaka kadhaa walikuwa wanaongea kwa kigugumizi utafikiri konokono anapiga rivasi.
 
Back
Top Bottom