Recent content by nyasura

  1. N

    JamiiForums Tanzania TANZIA TANZIA: Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Katoliki Ruaha (RUCU), Prof. Fulgens Linus Mbunda afariki dunia

    Kweli anapenda kuchomekea sana,pia alikuwa mpole sana Sent using Jamii Forums mobile app
  2. N

    JamiiForums Tanzania Mnaomshambulia Spika Ndugai someni katiba ya nchi

    Kwani Ulimwengu yeye ni nani? Mpaka umutolee mfano,naye ni binadamu kama watu wengine,kuna watu wakibaniwa maslahi yao hugeuka kuwa wapingapi.kuwa makini ndg haya mambo yaache tu..... Sent using Jamii Forums mobile app
  3. N

    JamiiForums Tanzania Dunia duara , acheni majigambo , Kutoka kuwa kamishna wa TRA hadi afisa Tawala wa Njombe !

    Katibu tawala mkoa ana hadhi sawa na Katibu mkuu wizara,hilo tambua ndg
  4. N

    JamiiForums Tanzania Balozi Ali Karume ampasha mpwa wake Fatma Karume

    Aisee kama huna uhakika kuhusu CV za watu acha kabisa kuongea,kabudi ni prof mkongwe wa sheria.....kuwa makini ndg Sent using Jamii Forums mobile app
  5. N

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Mwana JF, Kennedy Lufulondama afariki dunia

    Poleni sana wafiwa Sent using Jamii Forums mobile app
  6. N

    JamiiForums Tanzania Tanzia: Johanes Kanani apata ajali na kufariki

    Poleni sana ndugu Sent using Jamii Forums mobile app
  7. N

    JamiiForums Tanzania Nimethibitisha ni kweli mke wangu kanisaliti

    Ukisikia kufanya maamuzi magumu ndo hapo mkuu,huyo kwanza hana upendo mke mwenye upendo hawezi kukufanyia hivyo hata siku moja Sent using Jamii Forums mobile app
  8. N

    JamiiForums Tanzania Nimethibitisha ni kweli mke wangu kanisaliti

    Kaka hapo hakuna ndoa kwa sababu ukisema uendelee kuishi naye atakusaliti tu kwa sababu hiyo ndo tabia yake na hawezi kuacha,kwa nini uumie moyo na maisha yenyewe mafupi hivi...issue ya watoto siyo shida watakutafuta tu muhimu hapa amani ya moyo bro.Aondoke tu hiyo ndo itakuwa salama yako...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Wasifu/CV ya Profesa Joyce Ndalichako

    Huyo ni prof wa education(psychology) nani mtaalamu katika takwimu. Sent using Jamii Forums mobile app
  10. N

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Mabaka, Mba na Fungus (Fangasi) sugu na kuwashwa sehemu za siri kwa wanaume na wanawake- Fahamu chanzo, Dalili na Matibabu yake

    Huo ni ugonjwa wa fungus...ni vizuri kumwona Dr.... Sent using Jamii Forums mobile app
  11. N

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Hahahaha Sent using Jamii Forums mobile app
  12. N

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli anaendesha nchi kwa misingi ya upendeleo wa kifamilia, kikabila na kikanda!

    Ukiona watu wanakimbilia kwenye ukabila na udini hiyo ni dalili ya kufilisika kichwani kabisa... Sent using Jamii Forums mobile app
  13. N

    JamiiForums Tanzania Hatimaye nimejiunga JamiiForum

    Karibu sana ndg,umefanya uamuzi sahihi Post sent using JamiiForums mobile app
  14. N

    JamiiForums Tanzania Sifa za wanawake/wadada wanene

    Mmmh Post sent using JamiiForums mobile app
  15. N

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Ok
Back
Top Bottom