Ndio , kwani vipiMbona hueleweki umeandika sms hii ukiwa umelewa au unakimbizwa
Mkuu..
Msamehe mkeo, haya mambo yanatokea kwa sisi binadamu na walio wengi tumeyapitia haya au tunayapitia haya..
Kifupi Yaliokukuta wewe namie yalinikuta..mwanzo mwisho wa ulicho kiandika but akili na busara lazma itumike kuweza kuvuka hili wimbi au kisikii..Nilisamehe tukazungumza na sasa tunasonga mbele..
Kila binadamu anahaki ya kukosea..tuache kuukumiana wakati sote tuna dhambi ndani yetu,msamehe mkeo..jiwekeeni miiko na usisahau hawa wanawake wetu, kitu msimamo ni moja ya pungufu lao kibinaadamu..
una busara za hali ya juu sana naamini wewe ni MUME BORA
Mkuu..
Mtoa mada akiweza kuvuka hiki kisiki..namuakikishia atakua nafuraha chamsingii asiweke mawazo hasii juu ya mkewe..
Sio rahisii lakinii hatalishinda hili wimbii akiwa na busara..kosa moja lisifute mema yote aliyotengeneza yeye na mkewe..
View attachment 558161
Brother hongera sana kwa ujasiri wako. Unastahili pongezi kwa ushujaa wa kusamehe na kuendelea na mkeo ilhali alikusaliti. Inahitaji mwanaume aliye na kifua cha chuma kubeba mzigo kama huo. Very few confident men with options would stoop that low. Hongera sana. Nakuombea mkeo asikufanye bwege na kuendelea kuchepuka kama ilivyo ada kwa wanawake wachepukaji. Huwa hawaachi. Anyway, inawezekana wako "aliteleza" tu.Mkuu..
Msamehe mkeo, haya mambo yanatokea kwa sisi binadamu na walio wengi tumeyapitia haya au tunayapitia haya..
Kifupi Yaliokukuta wewe namie yalinikuta..mwanzo mwisho wa ulicho kiandika but akili na busara lazma itumike kuweza kuvuka hili wimbi au kisikii..Nilisamehe tukazungumza na sasa tunasonga mbele..
Kila binadamu anahaki ya kukosea..tuache kuukumiana wakati sote tuna dhambi ndani yetu,msamehe mkeo..jiwekeeni miiko na usisahau hawa wanawake wetu, kitu msimamo ni moja ya pungufu lao kibinaadamu..
Real nimependa ushaur wakoKufa nalo mkuu, ndoo utu uzima. Na ulilitafuta kweli? Umelipata. Nyie bado wachanga ktk ndoa. Msamehe kwa kauli ambayo kila atakapokuwa anatongozwa hayo Maneno yatamjia akilini
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nifundishe na mm kuihak WhatsAppWanabodi,
Huyu mwanamke nipo naye kwenye ndoa for 5yrs sasa na tuna mtoto mmoja.
Kwa kipindi chote nilichokaa naye kuna mambo mazuri ambayo ninajivunia kutoka kwake. Ni mwanamke mwenye vission.
Kwanza ananijali kwa kila hali hasa katika vipindi vigumu kimaisha pili sio mvivu ni mchapa kazi. Ni mwepesi kunisamehe hata na kuniomba msamaha kwa makosa niliyomfanya mimi.
Sasa huwa hanaga tabia za kuwa na wanaume alikuwa mwaminifu kiwango cha kutokumtilia mashaka kabisa. Nilithubutu hata kujisifu kuwa nina mke mwaminifu kwa kipindi chote.
Sasa juzi hapa nilianza kutilia mashaka nyendo zake maana kuna namna alibadilika nikaanza kumfatilia maana alikuwa hakai mbali na simu yake wakati sio kawaida yake.
Juzi kati hapa simu yake ikawa inamsumbua akanipa ni msaidie kuiset si ndio nikaingia inbox, huko nikakutana na SMS za jamaa anamtongoza wife ila wife akawa anamchomolea ila jamaa akawa anang'ang'ania japo inaonyesha jamaa anajua kuwa kaolewa maana wife alimwambia kuwa kaolewa.
Nikaona nisikae kimya nikamchana live kuhusu jamaa, akasema ni kweli jamaa anamtongoza lakini hawezi mkubalia basi nikamchimba biti mbaya na kumwambia akate mawasiliano nae.
Baada ya wiki nikahisi wife huenda bado ana mawasiliano na jamaa nikamuuliza akakataa ila moyo wangu ukawa bado una wasiwasi.
Ili kuilinda ndoa yangu na future ya mtoto wetu nikaamua kuhack WhatsApp ya wife kwa kutumia whatsapp web.
Hapo ndio nilipojuta hata kwanini nime-ihack WhatsApp yake siku ya pili tu baada ya ku ihack nikaona wana-chat live. Na wanatumiana picha, kilichoniuma zaidi ni pale wife alipokuwa anamtumia jamaa picha za nusu uchi.
Roho ilinipasuka kidogo nidondoke ukijumlisha na msg walizokuwa wanatumiana na ilikuwa kila akituma msg ikifika tu anazifuta chap na picha pia nilichofanya nikawa na screen shot mapema kabla hajafuta.
Kufika home nikamuuliza wife akakana baada ya kumzibua na kumwonyesha zile screen shot ndio akakubali.
Nilichokuja kugundua kumbe wife alishaamua kumzawadia jamaa penzi tena cha kusikitisha zaidi kuwa alimpa penzi ile siku ya pili baada ya kutoka kumuonya.
Yaani nimemkataza yeye ndio akaenda kufanya kweli. Ukiangalia wife hamna alichokosa kwangu tunaishi maisha safi anapata kila anachohitaji. Na 6×6 huwa na mkaza mpaka yeye nwenyewe anaridhika na hakuna siku nimemkaza asifike kilimanjaro na huwa ananisifugi sana sekta hiyo.
Wakuu naombeni ushauri wenu maana nimechanganyikiwa. Mpaka sasa nimeshindwa kutoa maamuzi nifanyaje.
Ninachoogopa zaidi ni itakuwaje jamaa akiamua kuzisambaza hizo picha!
Nimeogopa hata kulifikisha kwa ndugu zangu maana naona itakuwa ni fedheha.
Sina wa kunishauri marafiki zangu pia siwaamini sana hapa JamiiForums nimeona ndio kimbilio langu pekee.
Wife nilimfungulia biashara ila nimeifunga kwa muda kwanza.
Naombeni ushauri na sio matusi
Asanteni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Chukua sim ya mhusika nenda settingsza whatsapp chagua whatsappweb kwenye sim ya uwe na whatsapp web app, fungua whatsapp web app kwenye simu yako itafungua camera, na bonyeza whatsapp web kwenye hiyo sim unayo italeta qq code iscan kwa sim yakoMkuu nifundishe na mm kuihak WhatsApp
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa, lakini lazima ujue hakunaga kitu kuchepuka kama unampenda kweli. Mapungufu ya mtu hayaondoki kwa kuchepuka. Ukichepuka ujue sio mwanaume amesababisha ni wewe umeamua kuchepuka na unatumia udhaifu wa mwanaume kama kisingizio. Au sasa ukichepuka matatizo hayo yanaisha?!!uko sahihi pia!ila mwanamke aliekupenda kiukweli kweli kbs ..huwa hachepuki!...siku ukimskia kachepuka amini 100%huwa ni mumew kasabaisha!...hapa naomba jiathid kuelewa namuongelea yule mwanamke aliekupenda ila shurti yyt ile...achana na wale wnaoliliaga ndoa kwa kila namna! ngumu mno huyu kuchepuka....yaan hata atongozwe na mtu gan atamuona km kakake.....sema hamthaminigi wake wenu mkiona wanapenda !faulo zinaanza kutokea sasa
Sawa, lakini lazima ujue hakunaga kitu kuchepuka kama unampenda kweli. Mapungufu ya mtu hayaondoki kwa kuchepuka. Ukichepuka ujue sio mwanaume amesababisha ni wewe umeamua kuchepuka na unatumia udhaifu wa mwanaume kama kisingizio. Au sasa ukichepuka matatizo hayo yanaisha?!!
umalaya haukubaliki, we mpaka uoelewe manaake ni the best and exclusive for me. Ukitoka nje nikajua tu umeji disqualify! Hatufugi malaya siku hizi!!!
aseehHaridhishwi si aombe talaka nini kinamgandisha na hatoshelezwi?
Si wanasemaga msosi hata kwao upo hutoshelezwi sema uachwe sio unagawa urada wa mtu.
aseeh