Sumve 2015
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 4,626
- 4,326
Inaweza kufika ofisini isisomwe maana Spika yuko na kazi nyingi, dawa ya jeuri...Soma vizuri hiyo barua.
Paragraph ya kwanza Spika anasema "mpaka sasa haijapokea barua kutoka kwa" mbunge.
Paragraph ya pili Spika anasema "hata hivyo [spika] amepokea barua kutoka kwa Katibu Mkuu wa [CCM]"
So it was clear, Spika alitangaza jimbo liko wazi sio kwa barua ya Nyalandu ila ya CCM. Tusubiri barua ya Chadema ifike tumsikie anasemaje.
Ogopa sana Mungu na Technology
Sent using Jamii Forums mobile app