Nimekuwa nasoma thread nyingi humu jf na kuna kitu nimekifahamu hususani kwa wazalendovwa act,kila bandiko lolote la mzalendo huwezi kukosa neno chadema,sijui hii ina maanisha nini labda wenyewe watuambie,sisi wengine tunahitaji sera ni kivipi mtatuwezesha kuishi kijamaa kipindi hiki ambacho...
mapenzi yenu wekeni pembeni sisi tunataka ukweli,kama yeriko kadanganya means unaufahamu ukweli wa jambo hilo,coz mtu hukataa uongo kwa kutoa ukweli kuhusu jambo husika.
mwigulu ulizunguka baadhi ya mikoa unatuambia ni lazima wote waliohusika wachukuliwe hatua na umeona vicheko vya mkuu wa kaya sijui utatuambia nini siku ukipita kwetu tena au ndo haupiti tena?
ungetaja mjina yenu wasomi wa dodoma ili tuwajue wote,au ndo kina kibaraka wa lowasa liyewekwa udom ndo mnajiita wasomi,si niliambiwa mliwekwa madarakani na uongozi wa chuo akina mlacha kwa amri ya lowasa? nahisi ndo mnalipa fadhila eee
nakubaliana na wewe kwamba mhongo kaleta mageuzi tanesco,lakini najiuliza hivi hizi siasa chafu zinazozingiziwa kutaka kumwondoa waziri huyu ndo zilizomfanya aswe makini na mambo yaliyokuwa yanaendelea,je chuki za siasa ndo zilimfanya atuambie eti alitaka kumfikisha mwanasheria wa tanesco kwenye...
zito ni mkweli sana na ndiyo maana aliahidi kutoa majina ya wenye account uswisi kama serikali ingeshindwa kuyatoa na akayatoa kweli.anayesema zito muongo sijui uongo wake ni nini
hizo za rushwa za chini elfu 50 hata mkuu wa kaya anajeuri ya kusemea ila kaa la moto ni rushwa za mikataba,siku nikisikia lowasa anasema kuna mkataba wa kifisadi akiukemea kwa nguvu zote na mimi ntakuwa teamlowasa
samahan wadau nielekezeni ni kivip twaweza walivyopata study population,kwa sababu nilisikia wanasema waliwasiliana na watu kwa njia ya simu,je namba za simu zilipatikanaje hadi niamini kuwa study yao haikuwa biased
thatha,mbona kila uzi unamtetea zito as if unafahamu mambo yake yote,kumbuka unaweza ukawa na rafik yako ila usijue kuwa ni mchawi hadi siku ukimkuta kanaswa akiroga,wewe ni binadamu huwezi kujua kila kitu anachokifanya binadamu mwenzako,nikimsikiliza mwigamba anavyomtetea zito ni kama wewe...
umeandika vizuri ila nina maswali sina majibu yake hadi leo
1.kwenye tume ya mwakyembe ilionyesha hadi sahihi ya lowasa ilikuwepo kwenye mikataba,iweje kusema alitolewa kafala kwa kosa la watu wengine? au iweje tuseme aliwajibika kwa kosa la watu wa chini yake,wao ndo walisaini hiyo mikataba...
endelea kujifariji na historia a huku hujui uhalisia wa mambo,hayo ndo matatizo ya elimu ya tz ya kukariri,mnakariri hata visivyotakiwa,zunguka mahospitalini uulize interns viazi na vichwa maji wa miaka ya karibuni wanatoka chuo gani then ndo uje kuchangia humu la sivyo utakuwa walewale,na vp...
do you mean zitto is critical thinker or shoza,mwigamba,mkumbo etc? niliwahi kuuliza mswali humu kuhusu zitto hakuna yeyote aliyeyajibu hadi leo,naomba niulize tena leo
1. zitto akizungumza na waandishi wa habari na pia hata kwenye mikutano yake kigoma alisema moja ya sababu za kufuliwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.