Aache mambo yake ya kilaghai nani asiyejua kuwa yeye ni CCM damu.
Sidhani kama CDM ni wajinga kiasi hiki?! Huyu atauza jimbo kwa ma-CCM zero hours, kama CDM wakifanya makosa hayo ya kumsimamisha.
Ukimuacha Azavel, mwingine nayemheshimu ni Prof. Mwesiga Baregu.
Katika gazeti la mwananchi la leo amesikika Dk. Benson Bana akisema ana mpango wa kugombea ubunge jimbo la Bukoba vijijini kwa tiketi ya Chadema.Hii imekaaje wadau?
Chanzo: Gazeti Mwananchi | 14 Novemba,2014
Zamani Si alikuwa mshauri wa rais. Baada ya kuchokwa akaendelea Na redet. Then Leo hii yupo Na twaweza. Juzijuzi tulikuwa naye fyatanga anatafuta mamba za simu za repoa
Mh!Na wasi wasi wa kupata SHIBUDA mwingine.Miguu ipo CDM kichwa kipo CCM