MAHANJU
JF-Expert Member
- Aug 26, 2014
- 5,255
- 8,027
Habarize wandugu!
Kwanza naomba niseme kua mimi ni mtoa mada tu na siko affiliated na part yeyeto! Napenda tu kuchangia pamoja na kutoa mada humu.
ACT kwa suala la kutembea na kuuza kitabu kinatoa simulizi ya kifo cha marehemu CHACHA WAMNGWE mtawafanya wananchi wawaelewe kua mmetumwa, Sasa kama Mbowe alihusika kwenye kifo hicho ninyi kinawahusu nini?
Kesi iliisha mahakamani na alishinda kesi huku ninyi mnatengeneza kitabu kujipatia pesa, hamuoni kua akienda mahakamani mtaelekea kubaya?
Kwanini mhangaike naye msihangaike na Chama tawala ambao wametufikisha hapa tulipo ili mlete babadiliko?
Sasa mkihangaika na Chadema mtapata wapi muda wa kuhangaika na CCM?
Mtawaaminisha wananchi kua mnaimarisha chama tawala hu mkifanya kazi ya kuua upinzani. Wapinzani wenyewe bado idadi yao hailingani na ya CCM na hamtaweza kuwashawishi wote, Sasa mtaambulia nini hapo?