Recent content by nyanjiiii

  1. nyanjiiii

    JamiiForums Tanzania Kama unaogopa hasara, baki na hela zako

    Ila ilikuwaga Tamu jamni ile soda
  2. nyanjiiii

    JamiiForums Tanzania Kama unaogopa hasara, baki na hela zako

    Kweli kabisa, m
  3. nyanjiiii

    JamiiForums Tanzania Picha: Nikiamka nazikuta chale, zinatoka wapi?

    Omba sana Mungu, mi yalishanikuta unaamka asbh unakuta kitu kama hivyo SAA nyingine katkat ya mapaja, kuja kuchunguza lumbe wenye ndo michezo yao, mwsh wasiku nikahama na sjawahi kutana na vibweka kama hivyo
  4. nyanjiiii

    JamiiForums Tanzania Wake ni chanzo cha nyumba ndogo

    Kulea ni kazi kubwa sana mgekuwa mnabadilishana Leo zamu yake kushinda na watoto kuhakikisha nyumba safi akufulie mguo zako, watoto ukute chakula safi siku mojamoja ungejionea yaliyomo yamo
  5. nyanjiiii

    JamiiForums Tanzania Salary slip hewani, no increment no ongezeko

    Hasa katika nchi ya kama hii, hatari Sana
  6. nyanjiiii

    JamiiForums Tanzania Haya ndiyo majina pekee ya Wanawake wenye ' Baraka ' kama ukiwaoa mengineyo umejitafutia nuksi

    Kuna jamaa Yang WA karibu kaoa huyo Rahma ila maisha yalivyomgeuka had huruma, life limekuwa gumu hatari
  7. nyanjiiii

    JamiiForums Tanzania Kwa watumishi wa Mungu Joel na Munalove

    Acha uduwanzi na story zako za kutengenezwa
  8. nyanjiiii

    JamiiForums Tanzania Tatizo la ajali Mbeya haliwezi kumalizwa na Polisi pekee, washirikisheni Wazee

    Hafu vibweka kila kukicha, hatari kwela
  9. nyanjiiii

    JamiiForums Tanzania Kwa watumishi wa Mungu Joel na Munalove

    Ulidhibitisha wapi kama mwingira kazaa na mke WA mtu au ndo story za magazeti? Mbona wat mnapenda kushadadia vitu vya kusikia?
  10. nyanjiiii

    JamiiForums Tanzania Tatizo la ajali Mbeya haliwezi kumalizwa na Polisi pekee, washirikisheni Wazee

    Hafu ndo mji unaongoza kwa kuwa na makanisa mengi
  11. nyanjiiii

    JamiiForums Tanzania USHUHUDA : Manabii wanaouza maji na mafuta yaliyoombewa…

    Watu Wang wanaangamia kwa kukosa maarifa, neno linatimia
  12. nyanjiiii

    JamiiForums Tanzania Neria by Oliver Mtukudzi: Nani anaukumbuka?

    Yaan hii movie nilkuwa nikiiangalia lazima nilie, nilkuwa cjuagi kwanini ilkuwa vile
  13. nyanjiiii

    JamiiForums Tanzania Video: Kijana aliyeng'ang'aniwa na mzigo wa mahindi aeleza kila kitu,kumbe aliudanganya umma wa Tanzania

    Y Yaan wakati kila kitu kiko wazi bado MTU haelewi
  14. nyanjiiii

    JamiiForums Tanzania Vijana ni wakati wa kupiga pesa kwenye biashara ya mpunga

    Umenichekesha
  15. nyanjiiii

    JamiiForums Tanzania Vijana ni wakati wa kupiga pesa kwenye biashara ya mpunga

    Nilichojifunza kuna changamoto nyingi sana ktk kutafuta wapendwa, mfano mi nililima Mara ya kwanza hasara niliyoipata staweza sahau, lakini sikukata tamaaa na niliamni siku nitatoka, ni kweli nililima tena saivi nachekelee nafurahia ukulima Wang, kikubwa usiogope changamoto we pambana ipo siku...
Back
Top Bottom