Wake ni chanzo cha nyumba ndogo

Wake ni chanzo cha nyumba ndogo

Siwezi kuhukumu, maana kuna baadhi ya wanawake ni wajeuri balaa, anaweza kunyima unyumba bila sababu yoyote.

Ndiyo maana kuna ndoa zinavunjika kila leo maana wapo wake/waume wasiojielewa hata kidogo.
Pole mkuu
 
Ni kweli kabisa... lakini ujue wanawake wanapitia kwenye mabadiliko mengi sana na ni watu wa mood sana ndiyo maana ni rahisi kumjua mwanamke ila siyo rahisi kumfahamu...

Inahitaji uvumilivu sana na roho ya kaba...

Cc: mahondaw

kweli kabisa smart
 
WE CHEPUKA TU BANA!
unatafuta justification nyiiiiiingi !
HUNA HATA HAJA!
wala hakuna mtu atakuuliza mkuuu!
USIJIMALIZE SANA WALA NN!
tongoza kubaliwa lipa hotel piga kipara oga rudi nyumbani oga kula lala!
RAHISI TU!
 
kwa kweli...
 
Kulea ni kazi kubwa sana mgekuwa mnabadilishana Leo zamu yake kushinda na watoto kuhakikisha nyumba safi akufulie mguo zako, watoto ukute chakula safi siku mojamoja ungejionea yaliyomo yamo
 
Nikweli baadhi yetu tuna toa sana mwanya wa mambo kama hayo,je ukiwa kama mwanamme umejitahidi kiasi gani?
Nikweli kuna mda mtu unachoka na unafanya Tendo kwa sababu mwenzio anataka huna budi.
Mfano nikupe wangu naamka saa 10 alfajiri niamshe watoto kusali nimuamshe Hubby unajua ilivyotabu kuamsha watoto Asubuhi, nikimaliza naingia jikoni breakfast ya watoto chakula cha kuchukua watoto school,

Watoto wakisha toka nirudi kujitayarisha mimi kwenda kazini, narudi kazini saa 10 jioni kupika huku unaangalia Home work zao au kama Hubby yupo anawasomesha mie napika saa 2 chakula mpaka ulaze watoto ni saa 4 ndio napanda kitandani hoi
hapo sasa ukiombwa mapenzi hua unafanya tuu siku nyengine,ila kuna siku unakua active unafanya fully,na weekend sanaa mood inakua nyingi manake hakuna school wala kazi..
 
Ratiba yako ipo simple na ni nzuri,hongera kwa kujipangilia vizuri
 
Aisee brother pole sana mpaka sa hii bilabila umeandika uzi kwa uchungu sana
ukipeleka mkono unaputwaa ukijifanya kususa huwezii unajaribu wapiii unasusa kidogo haubembelezwi unapeleeka mkono taratibu katulia unajipa matumaini kaeleweka aiseee ikikalibia IKULU unatupwa kule mkono aisee noma sana hawa Viumbe
anakujakukutengea Alfjri yaan ushachoka zako hata round uchukui shenzi sana hawa viumbee
🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂 pole sana baharia, inatia uchungu sana hasa ukiwaza mapenzi yalipoanzia hadi ukashawishika kumlipa babaake 1.5M ili uchukue goma mazima.
 
Kazia mdogo wangu sababu suluhu ni kuzungumza na mkewe maana siku zote wanasema hakuna binadamu aliyekamilika.
Tabu huja mwanamke akiwa hataki hata muongelee hilo. Anakupanikia tu maana anaona upuuzi ila wewe unakereka.
 
Mimi mke wangu ananipa unyumba fresh tu na tunapendana ila hata sielewagi kwa nini nachepuka yaani nikimwagana na mchepuko naangaika kutafuta mwingine kama vile niko single sijui aliyeniroga nani
😂😂😂😂😂 tuazime mkeo mkuu, tunakazi nae
 
Acha kutafuta sababu za kuhalalisha Udhaifu wako.

Mkeo akikuambia kachoka. Kachoka kweli..kwan hudhan wao hawapendi sex ???
Kuchoka kila siku? Week nzima, Mwezi mzima? Hajui kuwa sex ni hitaji muhimu kwa mume au ni mapuuza tu?
 
Nikweli baadhi yetu tuna toa sana mwanya wa mambo kama hayo,je ukiwa kama mwanamme umejitahidi kiasi gani?
Nikweli kuna mda mtu unachoka na unafanya Tendo kwa sababu mwenzio anataka huna budi.
Mfano nikupe wangu naamka saa 10 alfajiri niamshe watoto kusali nimuamshe Hubby unajua ilivyotabu kuamsha watoto Asubuhi, nikimaliza naingia jikoni breakfast ya watoto chakula cha kuchukua watoto school,

Watoto wakisha toka nirudi kujitayarisha mimi kwenda kazini, narudi kazini saa 10 jioni kupika huku unaangalia Home work zao au kama Hubby yupo anawasomesha mie napika saa 2 chakula mpaka ulaze watoto ni saa 4 ndio napanda kitandani hoi
hapo sasa ukiombwa mapenzi hua unafanya tuu siku nyengine,ila kuna siku unakua active unafanya fully,na weekend sanaa mood inakua nyingi manake hakuna school wala kazi..
Sasa ni bora ufanye tu ilimradi kuliko kutoa kauli ya nimechoka au sijiskii, its agressive and sounds more like a denial. Mpe mtu hata kimoja atulize wenge kisha ndio utoe excuse yako kuwa hauko poa for more. Ni rahisi kueleweka atleast you tried.
 
wacha kutafuta sababu ya kuchepuka, iheshimu dini yako.....ni kweli kabisa mambi huwa yanachange hasa majukumu yanapoongezeka.....unabakia kuhesabu watoto....did u play ur part even in 58%?? au wewe ni mume kudandia tuu... mfanye mkeo mpya daily brother........mpandishe nyege mapema mkuuu......ukiwa ofisi anza kumshawishi...wanawake ni hisia mkuu.......muweke tayari kupakuliwa ni wako huyoooo.....ofcoz kashinda kutwa nzima akipambana na majukumu ya home......ila namba huanzia 0...........but huishia mbaaaali......huyo ndio chaguo lako.....rejesha mahaba ya awali...waweza.....kitanda chenu kinachosha.....nunua kingine braza........siku nyingine fukuza wote home....mkazie hata jikoni....faragha shtukizi hiyo......jitahidi unaweza......
Nimrkupenda buree
 
Doooh
 
Ila jaman wanawake tunamajukum mengi sana tukiwa nyumbani, alafu uwe na watoto unataman hata kulia sio kwamba tunawabania waume zetu, kutwa nzima unazunguka sometimes hata muda wa kuoga na kujiweka sopsop unakosa, umemaliza kazi umeoga ni usiku na mume nae anataka kweli jaman

Inabid naww ukirud home msaidie kaz kidogo wife, huku unamtania tania kwa mahaba mkimaliza kazi unamwambia mke wangu twende nkufanyie massage we unazan mwanamke gan atakataa kwenda kupetiwa petiwa shida mnakuja mnafosi au kiswahili fasaha Mnabaka wake zenu lazima ndoa iwe chungu
 
Back
Top Bottom