Recent content by nyanja255

  1. N

    Passport ya kusafiria,

    Unaweza kupata taarifa za awali kupitia hii link ya kwenye website yao Passports and Travel Documents
  2. N

    Magari ya kuruka kwenye anga kuzinduliwa Nairobi, Kenya

    Nzuri sana hii hongereni Wakenya kwa kuwa sehemu ya majaribio ya hii project
  3. N

    Top universities in Tanzania 2018

    source yake tafadhari
  4. N

    Unakumbuka nini enzi zako za Chuo kikuu?

    Maisha ya Saut yalikuwa matamu sana, nikikumbuka mashindano ya Fawasco, Prolife, nikikumbuka kusumbuana na washikaj kwenye kuandaa assaignment kwenda kupresent, quiz za kushtukiza, kuwa na kipindi siku ya Jmosi tena saa 9 mchana. Sitasahau kamati kwa wale waliosoma Saut wanajua "kamati" "mzora"...
  5. N

    Uwanja wa Taifa: Simba SC 1-0 Azam FC, ligi kuu soka Tanzania bara

    Leo ndio leo tuko kwenye tukio kupitia Azam TV
  6. N

    WhatsApp wazindua app ya WhatsApp Business

    Nimeanza kuitumia tangu juzi
  7. N

    Wauza smartphone tukutane hapa

    [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
  8. N

    Uhuru Kenyatta hana mfano Afrika kwa demokrasia

    hapo sasa maana yake alipaswa aende ikulu sasa karudi home
  9. N

    Sababu za vegetarians kutokula nyama

    Kuna hao vegans ndio hatari kabisa hawajugusi maziwa,mayai or any kind of animal products.
  10. N

    Haki za mteja endapo benki itafilisika

    angalau sasa imeeleweka
  11. N

    Prof. Beno Ndulu: Chungu cha BOT kina fedha za kutosha, nimeacha akiba ya fedha za kigeni Dola bilioni 6

    Lakini huyu huyu si ndio aliambiwa aachie ngazi mapema ili gavana mwingine aingie leo kawa mzuri sana!!!
  12. N

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Hii GB 5 kwa 2000 kutoka voda nishaitafuta lakini wapi sijui ni vigezo gani vimetumika baadhi ya wateja kupewa kwenye menu yao me naambulia MB 400 kwa buku elfu 2 kwa 1.5GB zitumike ndani ya masaa 24
  13. N

    Tuliowahi kupata pesa na kufilisika/kufulia, tujikumbushe hapa

    Pole sana kaka story yako ni fundisho kubwa sana kwetu wapambanaji! na namna ya kuwa makini katika biashara tunazitaka kufanya
  14. N

    Nauza iPhone 6s bei sawa na bure

    Kwa hayo majibu aliyomjibu huyu muuzaji masikini sijui alivyosoma tu akafikiria nn kichwani mwake, maana haiingii akili hata kidogo biashara na ilo jibu
Back
Top Bottom