Pole sana mkuu wewe mpotezee hajui thamani ya mama hata kama sio mama mzaziDaaaaaah nimejiskia vibaya sanaa.
Huyu jamaa Kama shoga hivi Hana akili mpumbavu na zoba, shenz type,Kamuuzie mama yako mkuu
Pole sana bro Huyo jamaa Hana akili anaropoka tu wew usimuwazieDaaaaaah nimejiskia vibaya sanaa.
Hivi Wewe jamaa uko sawa kweli kichwani?Kamuuzie mama yako mkuu
Ww unataka akuuzie bei gan??unavyotuambia laki sita unaona ni.ndogo sana au yan laki sita ni sawa na bure!?
aisee hii haijakaa sawa kabisa!Kamuuzie mama yako mkuu
Jombaa, mtake radhi.Kamuuzie mama yako mkuu
Majibu kama haya inaonesha umeshawahi kuingiliwa kinyume na maumbile...Kamuuzie mama yako mkuu
Wazaz wanahusikaje sasaKamuuzie mama yako mkuu
Kamuuzie mama yako mkuu
Dah! Nimejisikia vibaya sana as if mimi ndyo nimeambiwa, hakika ningekufahamu kwa sura tungewana majengo ya serikali mimi niende jela wewe uende mochwari/hospital.Kamuuzie mama yako mkuu
Mkuu unaweza negotiate nae mkafikia pazuri tuu kwenye biashara huwa akiharibiki kitu.unavyotuambia laki sita unaona ni.ndogo sana au yan laki sita ni sawa na bure!?