Recent content by nyani jike

  1. nyani jike

    Hivi wanawake huwa wanapenda rafu sex au romantic love?

    Rough sex huwa inakujaga automatic popote pale unashangaa upon jikoni Mara kitu hicho Mara uko bafuni jamaa huyo umetoka job unaingia ndani unapokelewa mnatoka out kwenye Gari unapigwa kitu pia ni tamu sana kama hisia zenu zinafanana u feel each other maswala ya romantic huko sawa na...
  2. nyani jike

    Ushauri: Nimechoka na hii hali ya kuachwa na wanaume

    Wanasema eti kitu mnato plus mauno
  3. nyani jike

    Tunaishi kama mke na mume lakini hana mpango wa kunioa, nifanyeje?

    Nitashangaa kama hujaenda kuloga bagamoyo maana ndo habari za wanawake Wa dar hususa pia na Wa mikoani wamo sikuhizi
  4. nyani jike

    Maalim Seif Shariff Hamad alivyomsaliti Alhajj Aboud Jumbe

    Hivi bado form six kumbe wapo nyumbani na vyuo vimefungwa????????ndo maana#uzi mzuri lakini umekaa kimihemko zaidi haujielezi wazi mpambanuo mbovu#
  5. nyani jike

    Talaka zimefika 230,755 kuna jambo la kujifunza ?

    Asant mwanaume Wa mkoani:D:D
  6. nyani jike

    Natafuta mume "aibu yako aibu yangu"

    Nashindwa kuelewa my dear kama upon disparate kiasi hiki?anyway ni mtazamo siwezi jus ni jinsi gani umehangaika kwa hili ila kumbuka mume mwema hutuka kwa mungu wakati ukifika utaolewa tu.otherwise its need busara.wanaume fursa hii ila please msipite kwa kumjaribu huyu Dada wala kimkejeli...
  7. nyani jike

    Tundu Lissu kuiondoa CCM 2020

    Tuache watanzania tufanye kazi.sasa hivi rais ni Mh John Magufuli.
  8. nyani jike

    Arusha: Siri Nzito za DC wa Arusha, Mrisho Gambo Kuzuia ziara za madiwani zafichuka

    Itafika sehemu watanzania wote tutakuwa tunafanya kazi kwa ajili ya manufaa ya umma,siyo kwel tu ccm ndo wameifikisha nchi hapa ilipo pia hata chama kingine kingetupeleka hukuhuku au zaidi ya huku maana kinacho wakimbiza kwenye vyama ni njaa na maslahi binafsi ya kitumbo zaidi.Tanzania hii...
  9. nyani jike

    Hainaga ushemeji tunakulaga

    Huu wimbo Wa manfongo sijaulewa.kipi hakinaga ushemeji?,na kinaliwaje?
  10. nyani jike

    Biashara ya Nguo za Mtumba: Ushauri na Muongozo wa Kuifanya kwa Mafanikio

    Hahahahhaahhaahha kupeleka mitumna tena Ulaya?
  11. nyani jike

    Natafuta kazi bank teller

    Nikishaweka Picha???mfyuuu mnikome me niliyeuliza hapa mbona nyie wengine shobo mponyoko mnasoma na mnauliza kupitie Uzi wangu,me nimefunguka mwenyeqe nashangaa madume mnashoboka kuulizia details zaidi mpate ubank teller kiasi gani majobless mengi mbachungulia mpate na nyie info.pata info sepa...
  12. nyani jike

    Mwanaume anaepetipeti VS Mwanaume mtundu kitandani

    Me mwanaume pesa maana pesa inapetipete vya kutosha na utundu kitandani hizo mbwembwe tu mradi kitu kinasimama na kuweza kuleta watoto inatosha mbuzi anapigwa style moja na maisha yanaendelea vizur tu.
  13. nyani jike

    Natafuta kazi bank teller

    Tally naweza quick book labla 2 weeks ntajua tu bro
  14. nyani jike

    Natafuta kazi bank teller

    Ridhiki ya mbwa ipo miguuni mwake.mtanishangaa sana kutafuta kazi humu.haya maisha tu natafuta.
  15. nyani jike

    Natafuta kazi bank teller

    Wewe tena na ushindwe mtaani utakaa nwenyewe.
Back
Top Bottom