Tundu Lissu kuiondoa CCM 2020

Tundu Lissu kuiondoa CCM 2020

Kwa siasa za upinzani Tz mpaka leo, mtu pekee ambaye ameonesha kwa vitendo kwamba anaweza kuongoza kujenga Tz endelevu ni Tundu Lissu. Akiwekwa sokoni leo, kabla ya 2020 mchezo utakuwa tayari umeisha. Inaweza kuwa mtu lakini ni lazima kumuweka sokoni sasa.

Watu mna moyo kweli kweli... kama watu walivuruga dakika za mwisho za 2015 sijui nini kinawafanya muwaamini kuwa hawatajivuruga tena 2020...
 
Nchi haiweziongozwa na kichaa mvaa nguo.
Kaharishe ulale.
 
Watu mna moyo kweli kweli... kama watu walivuruga dakika za mwisho za 2015 sijui nini kinawafanya muwaamini kuwa hawatajivuruga tena 2020...
Unamaanisha ukikosea mara moja ndo mwisho wako huwezi kujirekibisha?
 
Nani amewaloga ili msijitambue?
Hakuna dalili hata ya kuota Lissu au mtu yeyote kupitia kambi ya upinzani atakalia Ikulu ya Chamwino 2020.Sababu mmoja kuu katiba tulio nayo au ile iliopitishwa na Bunge la Samuel Sitta haimpi mpizani haki ya kutawala nchi.
Hadi hapo katiba ya Warioba itakapofufuliwa huko kuzimu kwa wafu.
Imekuwa jambo la kawaida kwa vyama vya upinzani kuingia ulingoni kutegemea miujiza wakati sheria au taratibu za mchezo wa kisiasa zimewafunga midomo ,miguu,macho,hata mikono.Kama unabishi muulize Maalim Seif.
 
Kinyume chake ni kuwa, ingalau huyu (Tundu Lissu) huyatazama na kupambana na situation yoyote ktk muktadha wa kuzingatia sheria za nchi!!

Huyu wa CCM aitwaye Pombe, yeye ni 100% nguvu pasipo tafakuri na akili ktk muktadha wa sheria!!

Na style hii ya uongozi wa Pombe ni 100% tabia za madikteta!!
We naona uko ki- upenzi zaidi.
Ila kama unasimama katikati ya mstari, utakuta Lisu ni mpenda sifa na asiyekubali kushindwa.
Hapendi kuonekana kashindwa juu ya jambo gulani.
Hapendi kukosolewa kama huyohuyo mkuu wa nchi, kwahiyo uyaonayo sasa, basi Lisu akiwa mkuu wa nchi hii utayaona zaidi ya hayo...
Ila kwa kuwa yuko nje ya uwanja ndio maana we unamuona hivyo.
Ndio maana hata leo yeye ndiye anayependa kushindana na serikali....
 
Basi pendekeza mwingine maana lengo kuu ni kuwa na mtu ambaye yuko sokoni kuanzia sasa ili awe fully scrutinised
Aisee kwa kweli mie sijaona.... Labda wewe unaweza ukapendekeza.
Na hata hii ya Lisu ni just mtazamo wangu.....
 
Tuache watanzania tufanye kazi.sasa hivi rais ni Mh John Magufuli.
 
Back
Top Bottom