Natafuta kazi bank teller

Ridhiki ya mbwa ipo miguuni mwake.mtanishangaa sana kutafuta kazi humu.haya maisha tu natafuta.
Wala crdb bankteller huihutaji kujua hizo programs ndugu.
Labda ujue ili kujazia cv. Hata bank nyingine kama diamond trust na BOA kuwa bank teller hizo progs hazihitajiki.
 
mshahara wa bankteller ni ngapi mkuu
Kwa crdb unaanza na 540,000 (hii figure siko sure nayo kivile lakini hata kama ikiwa tofauti siyo sana) ukiwa bank officer unapanda kwa lak moja kila mwaka. But pia kuna 150,000 kila tarehe 15 ya mafta ya gari na bonuses as well as ukiingia weekends pia.
Dtb ni chini ya 500,000 as well as BOA nao
 
Ahsante mkuu kuna mtu wangu aliniambia anapata 1,000,000 na hata miaka miwili hafiki.
 
Naona unataka kuwa overtake waliotangulia tena na fani zao husika,maliza ng'we yako kwanza acha papara.
 
weka picha yako hapaa

Nikishaweka Picha???mfyuuu mnikome me niliyeuliza hapa mbona nyie wengine shobo mponyoko mnasoma na mnauliza kupitie Uzi wangu,me nimefunguka mwenyeqe nashangaa madume mnashoboka kuulizia details zaidi mpate ubank teller kiasi gani majobless mengi mbachungulia mpate na nyie info.pata info sepa achana na maisha yangu najua nimewasaidia wengine kupitia Uzi wangu.
 
Mmmhhhh we nyani jike taratibu bana punguza munkari
 
Muongo huyo atakuwa anakuongopea maana bank officers wengi hupenda kuonekana wana earn more than what they really earn. ila BOA wanapewa housing allowance ya mwaka mzima kwa pamoja.
Ila wana michezo yao inayo wapatia pesa zaidi. sio halali wala sio haramu.
Mkuu, mpaka uwe Bank Teller ni lazima uwe afsa na Bank cheo cha Bank Teller ndio cha chini kabisa ama?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom