Mwanaume anaepetipeti VS Mwanaume mtundu kitandani

Mwanaume anaepetipeti VS Mwanaume mtundu kitandani

Me mwanaume pesa maana pesa inapetipete vya kutosha na utundu kitandani hizo mbwembwe tu mradi kitu kinasimama na kuweza kuleta watoto inatosha mbuzi anapigwa style moja na maisha yanaendelea vizur tu.
 
jambo la msingi APA nkujifunza nusukwa nusu jpo usisaahau kuwa siku izi kuna kusagana ke kwa ke nawanaridhishn je kuna mke mweny dushe swali n hapn ila mke wako akisagwa tu siku moja unaachwa kupitia hlo utapta jb which is which
 
As for me.. Sex nikionjo tuu cha kudumisha ndoa/mahusiano..... Mimi mwanaume ambae hajui kubembeleza apite tuu kushoto...
Kuwa good in bed its not everything... I'll embrace that lazy guy anapokosea ntamuelewesha as long as he is my man. I'll do whatever to train him.
Coz kwangu hakuna man bora kama yule atakaye nibembeleza atakayenijali na kunipa muda wake... Sex kwangu sio kigezo cha kwanza.
 
nimependa majibu ya ladies...ila tafadhali fungukeni zaidi wadada maelezo kiduchu tu angalau kama hapo juu walivofanya...tunajifunza kitu hapa sie vidume
 
Mademu hawajielewi, mwanzo anaweza akawa anapenda sex unayompa tu akaridhika mno na jinsi ulivyo hata kama huna kitu. Yani anakupendea hapo ila utakuja shangaa mwisho wa siku anaweza hata akaja kuanzisha na uzi humu kuwa unatumia pesa zake tu hata we huchangii nae kitu au humpelekei hata vyakula ukienda kwake we unampasua tu. Umpi hela ya kufulia chupi wakati mwanzo aliridhika.Hapo atasifia unajua kutia vizuri pia ila kistyle kashakugeuka tena anaona picha kali.

Nakumbuka kukuta uzi wa design hiyo humu, eti Mario wanajua kukaza ila ndio hivyo hawajiwezi kiuchumi.
hahhahhaha mkuu umeiangalia mada kwa jcho la nne,,u actually made my day mkuu
 
DAH!Anasemaga niko poa....ilaaaaa......jamani eeh jioni njema,ngoja nifunge kibanda hapa nipite gym kidogo.nisijekua nafeli mahali bure huku mi nakenua tu kwa sifa za nyege.
 
Tatizo ni pale tunapodhania kuwa Mahusiano ni kutombana tu
 
Huo muda wa kupeti peti unatoka wapi????nachoka kusaka hela halafu unipe kibarua cha kupetipeti tena?????...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom