Yaan kamaanisha Kenya ni kama punda amefungwa haendi kula majan lkn ana kunya na hajakonda, means anajiweza. isi tumekaa mwezi mmoja tu na misharaha ikachelewa.
KP smartest
Inasikitisha sana kusikia mtu aliyesababishiwa ulemavu kwa makusudi. akitolewa lugha chafu na mtu ambae hata hajawah kupitia changamoto kwenye familia yake...tl for president
Mkuu mwambie mtoto mzuri .uyo wife wako ni kichomi ndiy maan una mtaka yeye akikukubalia utamwacha wife maan hana adabu.na ana kutharau..
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.