Recent content by nyangi junior

  1. N

    JamiiForums Tanzania Kuna aliyeomba kazi Zoom Tanzania akaitwa interview?

    Sijawah kuitwa kwenye interview na mbaya zaidi kila nilipo apply kupitia APPLY NOW nikawa natumiwa meseji kuwa nitume hela nipate kazi.. ukitaka kuitwa interview kama una vigezo fanya hivi: 1. Ukiona tangazo zoom usikurupuke fatilia hilo tangazo katika mitandao mingine ya ajira inaweza...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Kuitwa kazini TRA (Wiki ya lala Salama)

    labda wanasubiri bajet kwanza
  3. N

    JamiiForums Tanzania Tume ya Taifa ya Uchaguzi

    mkisikia hamsemi. Muda ukipita mnasema.
  4. N

    JamiiForums Tanzania Tunatafuta mwalimu wa Kompyuta

    asiyeishi mbezi mwisho hapati kazi
  5. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, nina BBA

    unashangaa eeh!! km ww unayo kazi shukuru Mungu..
  6. N

    JamiiForums Tanzania Kuhusu TRA Oral interview

    hivi hawajaita kweli hadi leo?? hee!!
  7. N

    JamiiForums Tanzania Siku nilipokosa kaziI sababu ya kuwa msafi sana ofisini

    hear say..umeambiwa na umesikia ukaamin ukaamua uache. una ushahidi gani kuwa ilikuwa ni hvyo ulivyoambiwa na kusikia?? trust nobody but urself..
  8. N

    JamiiForums Tanzania Kuhusu TRA Oral interview

    nina uhakika wakiita watu utajua tuu kupitia hapa hapa jf.
  9. N

    JamiiForums Tanzania Second interview NSSF

    duuh!! pole.. kuna jamaa anasubiria za tra mpk leo hee!!
  10. N

    JamiiForums Tanzania Panya Road wavamia maeneo ya Magomeni, Mwananyamala na Kinondoni jijini Dar

    polisi wako busy na kuwakamata wale jamaa watatu waliotembea kwa miguu kutoka geita kuja dar kuonana na raisi lakini hawako busy na panya road..
  11. N

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya usaili TRA

    Kama jina na namba limewekwa post ambayo hukuomba inakuwaje hapo??
  12. N

    JamiiForums Tanzania Shahidi aeleza alivyoingiliwa kimwili na mganga

    Kweli aisee. No rape hapo.
  13. N

    JamiiForums Tanzania Kwa Wale Wanaoomba Kazi ZoomTanzania

    Niliwah kupost CV yangu zoom lakn kuna matapeli yanatuma texts kuwa uwatumie hela wakuunganishe kwa HR. Me naona kuna tatizo hapo zoomtanzania.
  14. N

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kisheria

    sawa mkuu nitakutafuta. your contacts please..
  15. N

    JamiiForums Tanzania Nini kazi ya shanga za kiunoni?

    tufundwe sasa..
Back
Top Bottom