Matokeo ya usaili TRA

Matokeo ya usaili TRA

majina ya ACO yamebandikwa kuna jamaa yangu alikuwepo asubui aliyacheki
 
Tafadhali aliyekaribu ayatupie kwa photo majina ya ACO tafadhali
 
Wadau naomba mnitumie majina ya customs officer namba yangu wasapp 0717675140
 
Kwa yoyote mwenye majina na anashindwa kuweka, Anaweza kuyatuma kupitia namba ya Whatsap JamiiForums 0765 600 009 na atasaidiwa ili yawekwe kwenye mada husika na kuwasaidia wengine.

Moderator
 
Mungu wabariki walioitwa na pia waliokosa wasikate tamaa. Chukua changamoto kama njia ya kutafuta suluhisho. Ukidondoka,una amka na kuendelea na safari
 

Attachments

  • IMG-20141214-WA0025.jpg
    IMG-20141214-WA0025.jpg
    154.9 KB · Views: 727
  • IMG-20141214-WA0026.jpg
    IMG-20141214-WA0026.jpg
    127.5 KB · Views: 649
  • IMG-20141214-WA0027.jpg
    IMG-20141214-WA0027.jpg
    66.4 KB · Views: 577
  • IMG-20141214-WA0028.jpg
    IMG-20141214-WA0028.jpg
    159.4 KB · Views: 609
Watu wana ajira zao bado wanakuja kweny usaili wa TRA? Jibu ni kwamba kutokana na baadhi ya maafisa wa TRA kupata utajiri wa harakaharaka kwa njia za rushwa na ufisadi na jamii kuona ni jambo la kawaida kwa mtu wa TRA kupata utajiri wa haraka bila kuhoji wala kuchukia anachokifanya, tena jamii ndo inamsifia kuwa ni mjanja. Hapa ndo tulipofika kuona kila kijana anataka kuingia TRA hata kama huko aliko ana mshahara mzuri kushinda hata huo wa TRA atakaopewa, bali nia na dhamira yake akaibe, ale rushwa naye apate utajiri wa haraka bila ya kufanya kazi kwa juhudi na maarifa. Sio vijana wote ila wengi wao hiyo ndo dream. Hapa ndo tulipofikia tukaipenda Rushwa, na ndiyo maana leo wengi wetu hatushangai hilo nyomi la vijana wenye ajira na bado wanakuja kweny usaili wa TRA.
 
Duu sasa mlienda kukamilisha ratiba nini maana uliona wapi mfanye mtihani watu zaidi ya 1000 na majibu yatoke kesho yake.. Chukua hatua mapema..
 
Back
Top Bottom