Kuhusu TRA Oral interview

Kuhusu TRA Oral interview

ATO
1. Tell us about yourself?
2. Tax due dates?
3. Are there penalties if one fail to pay tax on due date?
4. Why people avoid to pay tax?
5. How to solve this problem?
6. Why do you want to work with us?
7. What are your strength?
 
kuna watu waliitwa oral interview kwa nafasi ambazo hajaomba wakat written alifanya aliyoomba da izi kazi za taasis za serikali watu wanafanya kila mbinu kuwachomeka jamaa zao!!!
 
Jamani mm nilifanya ACO...panel niliyokua walinambia majibu yatatoka before the end of january...so kuweni na subira naamini ndani ya wiki hizi mbili wataita watu.
 
Jamani mm nilifanya ACO...panel niliyokua walinambia majibu yatatoka before the end of january...so kuweni na subira naamini ndani ya wiki hizi mbili wataita watu.

Thanx kwa taarifa kaka,ngoja tuendelee kuwasikilizia hz wk mbili
 
Jamani mwezi sasa au wameshaitana ndugu wenye taarifa tujuzeni watoto wa mkulima.
 
Inauma pale wenzio watakapoanza kupigiwa simu alaf wewe kimyaa usipigiwe kua umepata kazi
 
Kweli inauma lkn wameshaanza kuita watu wenye taarifa itoe kwa manufaa ya waliokosa plz
 
HAHAAHAHAHAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA
 
Tarehe 15dec mwaka jana kulifanyika Oral interview kurasini kwa nafasi mbalimbali zilizotolewa na TRA,,nilifanya usahili kwa nafasi ya customs,nahitaji kujua kwa anaefahamu kama TRA tayari wameshaita watu kazini.
Naomba uniambie writen inakuwaje
 
Back
Top Bottom