Recent content by nyangelekene

  1. nyangelekene

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    kocha anafanya makosa ila tujue hatujamzid maarifa ya ukocha
  2. nyangelekene

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    yuko kwao brasil ..alizingua sana but alitaka ndoto yake itimie
  3. nyangelekene

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    ahahaaa sijui hawa waarabu wa newcastle ni wa aina gan kumuongeza dogo mshahara kidogo walikua wanazingua na walimpromise,Isak kaona hawaaminik tena
  4. nyangelekene

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    😀😀😀 namfikilia coutinho asingeondoka angekuwa na sanamu lake pale anfield
  5. nyangelekene

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    twende na rodri uyo dogo atapata dakika kisela,pre season sio league
  6. nyangelekene

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    ahahahaha kiongozi najua bado una ukakasi kumkubali bado unamuona kama anajitafuta ivi
  7. nyangelekene

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    tutafanyaje ndugu yangu,japo ata mimi pamoja na sajili zote ila DM tungekua tumemaliza kila kitu..tukizingua pale kati sitajali usajil walio fanya ntamind sana kocha maana tatizo analijua vizur sana
  8. nyangelekene

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    ahahahaha sasa kwa ule umri wa mwanamke kweli akae tu mzee?? lazima na yeye akidhi maitaj ya mwil
  9. nyangelekene

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    sol campbell, gilbeto silva ..ata kwenye bonus hawapo??
  10. nyangelekene

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    kakosea sana na wala watu hawaongelei kwa chuki,sijui kwann ukikosoa kitu watu wengine wanaambatanisha kukosoa na chuki??kwanini??...ivi ukisema ili sio sahihi maana yake nikuwa una chuki na uyo mtu???.
  11. nyangelekene

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    😭😭😭
  12. nyangelekene

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    kwaiyo mbeleni uko tuanze kulia upana wa kikosi? maana naona wanaotaka kuondoka ni wengi na next season nawaona chelsea na man city hawatakuwa na utani. sijui benchi ndo watakuwepo wakina gomez,jones,endo na vitoto vya B team🤔🤔
  13. nyangelekene

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    waongee vizur na Napoli tuwape Nunez na vihela kidogo tumchukue Osmihen
  14. nyangelekene

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    umemsahau caragger
  15. nyangelekene

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    ata vichaa wanawaona wenye akili ndo vichaa...unaweza tofautiana na mtu kwa lugha ya staa.
Back
Top Bottom