Recent content by NYAMY

  1. N

    JamiiForums Tanzania Polepole aweka msimamo wake wa kutochanjwa

    una laana wewe.
  2. N

    JamiiForums Tanzania Hii ni Tanzania siyo Dubai

  3. N

    JamiiForums Tanzania Kwanini Tanzania haina mentality ya kuexploit Mataifa jirani?

    Habari za Asubuhi wana jamvi, Nimefikili sana juu ya Taifa langu Tanzania, Ukujaribu kuangalia mataifa kama Rwanda na Kenya yanatumia mbinu za kila aina kuhakikisha kwamba yanakuwa na uwezo wa kwenda kuexpoloit mataifa jirani kwa manufaa ya wananchi wake. Mfano mzuri ni Rwanda,Kagame yupo...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Kwa Rais Magufuli kila barabara italainika

    Salaam nyingi kwenu wana jamvi, Nadhani wengi wetu tunakifahamu kipande cha barabara ipitayo karibu na hospital ya CCBRT. Hiki kipande cha barabara kimeleta usumbufu kwa watumiaji kwa muda mrefu,mara nyingi kimekuwa kikiungwa ungwa kwa viraka tangu enzi za Mkapa.Nafikiri wajanja wa mjini...
  5. N

    JamiiForums Tanzania JB Belmont Hotel nini kimetokea?

    JB belmont hotel iliyopo maeneo ya posta katika jengo la Benjamini mkapa Tower wameondoa mabango yao,nimeshindwa kuelewa maana yake.Je wamehamia sehemu nyingine au wameisoma number? Naomba kusaidiwa.
  6. N

    JamiiForums Tanzania This is how Zitto Kabwe escaped from the hands of Police and fled abroad

    hahahaha jamaa kashiba matobolwa
  7. N

    JamiiForums Tanzania Naipenda hii ya mbunge wa Chalinze

  8. N

    JamiiForums Tanzania CHADEMA bingwa wa kubadili gia angani

    Mwanzoni niliwasikia CHADEMA wakisema Ikulu inaongozwa kwa remote kutoka Msoga, baadae wakabadili gia angani wakisema anatekeleza sera za CHADEMA, baadae tena gia ikabadilishwa angani wakisema nguvu ya soda ataacha. Rais Magufuli ameendelea kutoyumbishwa sasahivi nawasikia wakisema hafuati...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Hongera Rais kwa ujenzi wa barabara ya Ardhi - Makongo mpaka Goba

  10. N

    JamiiForums Tanzania What do you think of Trump's tweet?

  11. N

    JamiiForums Tanzania TRA yavuka lengo la makusanyo wa Mapato mwezi Mei 2016

    Imetolewa na idara ya huduma na elimu kwa mlipa kodi TRA.Hii ni kama ilivyoripotiwa na michuzi blog.
  12. N

    JamiiForums Tanzania TRA yavuka lengo la makusanyo wa Mapato mwezi Mei 2016

    Mamlaka ya mapato Tanzania imefanikiwa kukusanya kiasi cha shilingi za kitanzania trilio 1.032 katika mwezi May ambayo ni sawa na asilimia 100.7 ya lengo la kukusanya kiasi cha trilion 1.025 katika mwezi huo. =========================== Ikiwa imewekewa lengo la kukusanya Sh12.054 kwa kipindi...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Lini Serikali itajenga barabara ya Makongo-Goba

    Habari wana jamvi, Hii ni kero yangu binafsi nahitaji tusaidiane kujua ni lini serikali itaanza ujenzi wa barabara ya makongo/Ardhi kuelekea Goba.Hii barabara ni mhimu sana kwa wakazi wa Goba,mbezi na makongo.serikali imekuwa ikiweka kwenye budget ujenzi wa hii barabara kila mwaka lakini...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Baada Ya Kikwete Kutoka Ikulu Juzi, Leo Mkapa Naye Ndani

    Naomba kusaidiwa. nini tafasiri ya mpishano huu wa JK na Mkapa kwenda kumtembelea JPM ikulu. kila mara huwa anaanza JK then anafuata Mkapa,kwa nini asianze mkapa then JK.
Back
Top Bottom