Salaam nyingi kwenu wana jamvi,
Nadhani wengi wetu tunakifahamu kipande cha barabara ipitayo karibu na hospital ya CCBRT.
Hiki kipande cha barabara kimeleta usumbufu kwa watumiaji kwa muda mrefu,mara nyingi kimekuwa kikiungwa ungwa kwa viraka tangu enzi za Mkapa.Nafikiri wajanja wa mjini walikitumia kupiga pesa za fasta fasta.
Sasa habari ni kwamba mzee wa GRISI ameamua kupalainisha pawe laiiiini kwa kuweka barabara imara iwezayo kudumu kwa Muda mrefu.
Yaliyoshindikana kwa muda mrefu kwa MZEE WA GRISI yanawezekana.