Habari wana jamvi,
Hii ni kero yangu binafsi nahitaji tusaidiane kujua ni lini serikali itaanza ujenzi wa barabara ya makongo/Ardhi kuelekea Goba.Hii barabara ni mhimu sana kwa wakazi wa Goba,mbezi na makongo.serikali imekuwa ikiweka kwenye budget ujenzi wa hii barabara kila mwaka lakini utekerezaji ni zero.Je hii tuiite ni budget hewa?
Nyamy.