Mwanzoni niliwasikia CHADEMA wakisema Ikulu inaongozwa kwa remote kutoka Msoga, baadae wakabadili gia angani wakisema anatekeleza sera za CHADEMA, baadae tena gia ikabadilishwa angani wakisema nguvu ya soda ataacha.
Rais Magufuli ameendelea kutoyumbishwa sasahivi nawasikia wakisema hafuati utaratibu katika kuwaachisha kazi watumishi wa umma.
Siku hizi wanakamsemo ka ajabu, ka msemo kakipuuzi kweli, kila mara rais anapombana na wabadhirifu wa mali ya serikali utasikia sinema zinaendelea, hii ni episode ya ngapi?
I hate mtu asiyekuwa na msimamo, i hate mtu anayebadilika badilika, i can not trust such kind of a person, hawa watu siyo wa kweli wapuuzeni, msiwaamini, ni wachumia tumbo.